altabiliwa kweny kitabu Cha wauni. uyu mungu wa wenzetu
2026-09-12 16:10:44
3
Kim's mobile @#$ :
mungu yupo mwanza 😳
2026-09-12 12:37:08
2
Winfrida Nduche :
Ila huyu mama ni jasiri khaaa😂😂
2026-09-12 13:27:21
2
rachaltigiti :
Sas kwa hali hii el-mino ikija kusafisha kuna shda maan binadam washaanza kujiamulia mambo bora Mungu wetu wa mbinguni aje kutukumbusha tulipokosea
2026-09-12 09:07:12
2
last born reniee :
hii ndo ile rose muhando kaimba kua mungu amecheka au hahah ila binadamu tunajiamulia sana mambo na anaetaka ugomvi na mm aguse comment yangu 🤣
2026-09-12 07:02:40
2
Dedidya :
Mje huku Mmuone Mungu anacheka na Anacheza sijui ya wap hii maana Ukiipekua biblia nzima hutakuta maandiko yanayomzungumzia Mungu alicheza wala kucheka bali Aliumba viumbe pekee kwaajil ya kumsifu Mungu wetu aliye hai aliekuepo, Alieko na Atakayekuako
2026-09-12 05:44:49
2
Layd Deo :
kwani uyu nani????
2026-09-12 01:56:00
2
Aneth Gaston :
amen 🙏 nakupenda sana baba
2026-09-11 21:33:11
2
Esther Julius ndege :
mungu mkata mauno
2026-09-11 21:02:01
2
bressing j Boniface :
mmmmmh kila jicho litamuona yesu atakapo lundi vp huyu wakuonwa na ww TU au
2026-09-12 14:28:20
1
mama samwel :
sir god anachekaaa hahahaha hahahaha hahahaha hahahaha
2026-09-12 12:47:37
1
m͓̽a͓̽ m͓̽k͓̽a͓̽l͓̽i͓̽..❤🔐 :
mungu anakatika miuno😂😂🙌
2026-09-13 07:35:09
1
Wiston Nhwanga :
mhuuuu!!!!!
2026-09-12 13:32:28
1
LILIAN SHIJA :
mungu atunusuru na hili dada yake shetwani
2026-09-12 21:36:34
1
annamartine :
kwahiyo mungu karudi tayar au
2026-09-12 13:51:17
1
Veronica :
Hivi huyu anahabari kama kuna mvua ya elnino?
2026-09-12 14:10:06
1
rejinal osca :
💯💯💯
2026-09-12 19:34:21
1
Mirando :
ila ana makalio mazuri jmn
2026-09-12 16:31:21
1
SARAH WILLIAM :
jamani kamungu kamerudi kwenye rangi feki kalivyo kamatwa kalirudi kwenye rangi og kakawa keusi kama kajini kweli haka kamungu kigeugeu jamanii
2026-09-12 14:49:52
1
Rosemercy :
hana style nyingine ya kucheza
2026-09-12 14:50:34
1
To see more videos from user @kepha.barnabas4, please go to the Tikwm
homepage.