Tukikupa 200k ndani ya muda gani utatupa faida ya 20M coach ??🥲
2026-09-11 22:12:44
89
Abdul :
unatuletea notes za economics ap😂
2026-09-12 14:33:50
0
Buggo :
umejisikia kwel unachokiongea , in short its not possible labda gambling
2026-09-12 10:21:39
1
Porcupine junior :
mfano una laki 3 unanunua mayai tray 8500 kwa siku yanatoka tray 10 mwaka utakua na faida gan
2026-09-11 19:32:37
25
Lucky mziwanda :
jamaa alisema ukiwa na laki 2 utatumia miaka mingi sana kupata mil 10
2026-09-11 17:28:21
17
Hussein Idrisa :
Wasomi bhana [Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-09-12 16:51:37
0
MsafiriThePodcast :
Sikilizeni wasoma vitabu tuu sisi tunasikiliza wafanyabiashara
2026-09-11 20:05:51
56
SHABANI STORE :
Nimesoma comment zote
2026-09-13 07:53:41
0
Batromeo :
let me start
2026-09-12 17:01:31
0
Ahmad Abdullah :
ignore those depending on theories. ukiona mtu ana 200,000 kama mtaji ujue kila kitu kinatokea kwenye hiyo 200,000. upate milioni 20 labda jua litoke kaskazini
2026-09-12 14:04:00
19
Chidox :
Husituamvie kitabu utuambie hiyo biashara laki mbili tunazo
2026-09-11 21:41:18
12
Frank Farms :
ukishaona maelezo yanakuwa mengi mara vitabu ujue jibu ni NO
2026-09-13 17:08:50
7
TV & radio presenter, Comedy :
kusoma vitabu na kufanya biashara ni vi2 viwili tofauti vitabu havileti wateja Bali Ubunifu na mvuto wa biashara
2026-09-12 06:51:44
13
DUKAJIPYA :
watanzania wanaamini mtu aliyefanikiwa akiongea basi Yupo SAHIHI KWA mtaji wa laki mbili ukiwa na nidhamu unatoboa watu kibao wamefanikiwa
2026-09-12 04:43:20
9
Abbasi Habibu :
Sawa naomba unambie 200000 unafanya byashara gani ili upate hiyo 20m kwa mwaka
2026-09-11 19:25:50
13
Immah Makari :
Network Marketing nchi za wenzetu huku kwetu wanaofanikiwa ni asilimia 4 kati ya 100 tena lazima uwe mnjanja mnjanja sana ndio utatoboa.
2026-09-11 20:00:11
8
bigboy :
Watu ni wabishi jamani..Nyie wabishi hakuna kitu kinashindikana chini ya Ili jua..mtu Amefanya ameweza anaongelea uzoefu wake..Uyo jamaa wa jeans yeye anaongelea upande wake tusisahau kila mtu ana upande wake wamaisha
2026-09-11 20:25:41
6
GREAT MAN :
Ni ngumu Sana kukuelewa kaka😃😃
unazungumza Vitini, watu wanazungumza uhalisia.
2026-09-11 18:11:54
6
Africana :
mimi hawa wazee wa reference wa vitabu ni waongo njoo kwenyw field huku uone sio kuzungumzia kwenye vitabu
2026-09-12 04:11:33
6
Lastborn mtweve :
Huwezi bana
2026-09-12 06:26:05
1
Bitogwa's son :
bahati nasibu
2026-09-11 20:34:19
1
jimmymasanja :
ngoja nikamuulize chat gpt
2026-09-12 20:12:32
1
@OLLE SAMBERU :
😂😂laki2 izae milioni20
2026-09-11 20:05:37
1
hayase hb :
swala robart kiosak
2026-09-11 20:13:11
1
To see more videos from user @coach_salmin, please go to the Tikwm
homepage.