@jumamassare: Replying to @user4937568146691 utabarikiwa na wewe ameen #uzazi_boost #usa🇺🇸 #saudiarabia🇸🇦 #video#fyppppppppppppppppppppppp

juma massare
juma massare
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 11 September 2026 14:38:20 GMT
21837
2875
396
15

Music

Download

Comments

irene.chelango
irene criff 🥰🥰 :
amina nakusubir,hyo sku nkipata baby girl stolala week nzima ,ntalia machoz ya fraha nakumshukuru alie juu 😭😭
2026-10-25 19:24:16
0
nyaugenya72
🌹Sharon shayz shaz🌹 :
Amen 🥲🥲
2026-11-06 19:58:33
0
user66934772720570
mamy hb :
Amina naomba mchana nausiku nipate mtoto wakike mungu atusimamie tusiokua nawatoto wa kike mwaka huu uwe wetu
2026-09-16 20:48:15
4
rachaeljoy52
Recho :
mungu mwenye utanipea awe wa kike ama wa kiume nitashukuru😭🤲🙏🧎‍♀️
2026-11-02 16:53:32
0
user1439742901139
user1439742901139 :
mungu hii ndilo ombi langu najua utatenda nami kwako nahitaji mtoto wa kike
2026-09-11 14:56:15
6
elizabeth.lyimo96
mrs.juma ♥️♥️ :
Amin najiunganisha na izi baraka🙏🙏
2026-11-02 20:11:25
0
sidayaommy
sidaya.ommy :
Amen natumaini na mim wakwangu atakuwa Kam huyu 🙏🙏🙏
2026-09-16 15:19:03
2
chimami.wa.g
mamy jordan :
amen napokea mtoto wa kike mzur
2026-09-24 14:36:48
1
cutysalome.revoca
mrs G :
Mungu nami nijalie mapach wakike
2026-10-16 16:21:08
1
minah_cute
minah_cuter :
mungu nijalie nijifungue salama jaman maana hapa nahesabu siku tu
2026-10-04 17:10:42
1
kandiritu.kaari
kandiritu kaari :
Amina mungu sikia maombi yangu
2026-10-07 11:54:01
0
ashamnali
ashamnali :
amina mungu nipe kama huyu lshaalah
2026-09-12 13:25:29
2
user4054534518331
Mariam shirima :
na Imani na mm utanijibu mungu kwa kunipa hitaji langu
2026-10-01 08:12:16
0
jenifaanton3
Jenifa Anton :
ukinipa yeyot nitampokea baba
2026-10-06 05:20:53
0
issa.sleiman25
ISSA Sleiman :
mungu nijalie mtoto awe wa kike au wakiume nitapokea
2026-10-03 17:37:05
0
zuuh583
zuuh❤❤ :
Mungu nisaidie nijifungue salam
2026-10-01 07:06:22
0
fatina.kimweri
Fatina Kimweri :
mungu hili ndio hitaji langu najua itanijibu
2026-09-29 11:49:38
0
hajranjaidi
binti njaidi :
amen amen amen napokea nije nitoe ushuhuda na mimi hapa 2027 inshallah
2026-09-14 17:09:54
0
mamyb34
❤️ MAMY B ♥️ :
Napokea kwa barak 🙏
2026-09-11 15:47:50
2
neemaissa4337
Rayshar🫦💕🍂🍫 :
amen napokea kwa iman barak hii
2026-09-23 05:04:38
0
user4903201471250
princess qutey :
amina najiungamanisha na hii baraka kwa jina la MUNGU aliye hai kama aliwaokoa israel kwa farao ndio atafungua milango yangu ya uzao na kuvunja kila kizuizi kilicho chikilia watoto wangu ungana na hili ombi kama na wew unaitaji hii baraka📖📖🙏🙏🙏
2026-09-12 09:25:42
2
nestina560
Nestina :
mungu nijalie na mm mtoto wa kike
2026-10-01 12:32:22
0
petermuyathi815
mtoto WA nguni :
amen
2026-11-05 18:11:30
0
jackline7347
jackline :
Amina
2026-11-05 10:51:14
0
user1348619940171
Silya :
Amen
2026-11-06 07:47:58
0
To see more videos from user @jumamassare, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About