@islamicswahilinet: DINI IMETUWEKEA ADHAKARI MBALIMBALI KULINGANA NA MAHALA TUNAPOKUWA AU TUNACHOKIFANYA, HIVYO NI MUHIMU SANA KUSOMA ADHKAR HIZI MUHIMU SANA KWENYE MAISHA YETU Assalaamu Alaikum Warahmatullaahi Wabarakaatuh Mtume Muhammad ﷺ amesema: “Mwenye kumjengea Allah msikiti, Allah atamjengea nyumba mfano wake Peponi.” (Bukhari na Muslim). Hii ni fursa adhimu ya kushiriki katika kujenga na kukamilisha Nyumba ya Allah iliyopo Utengule, Wilaya ya Kilolo, Mkoa wa Iringa. Kila tofali, mfuko wa saruji, mchanga, kokoto au shilingi utakayotoa kwa ajili ya ujenzi huu ni sehemu ya Sadaka Jariyah, ambayo thawabu zake zinaweza kuendelea kunufaisha waumini hata baada ya maisha yetu duniani. 🤲🏽 Usidharau kidogo unachoweza kutoa. Huenda kile kidogo unachokitoa kwa ikhlasi kikawa sababu ya kupata malipo makubwa kutoka kwa Allah سبحانه وتعالى. Tushiriki katika ujenzi wa Nyumba hii ya Allah kwa kadiri ya uwezo wetu, ili iwe sehemu ya kuswali, kumdhukuru Allah na kuwafundisha vizazi vijavyo. Kwa anayependa kushiriki, unaweza kutuma mchango wako kupitia M-PESA: 0769 756 490, YAS | MIX: 0715 868 990, HALOPESA: 0619 115 190. Jina: MUDATHIR ISSA YOYOTA. #islamicswahilinet

Islamic Swahili NET
Islamic Swahili NET
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 11 September 2026 14:40:38 GMT
11434
1343
8
35

Music

Download

Comments

amicaboy1
amicaboy :
mashallha
2026-09-11 17:39:43
0
user513187086745
R.M.B.BARUTI :
allah
2026-09-11 16:28:47
1
.chette5
⚔️ chette⚔️🇨🇮🇫🇷🥷👑 :
🥰🥰🥰
2026-09-11 14:55:40
3
sonw529
son OTF :
🥰🥰🥰
2026-09-11 20:05:18
0
user3597483561469
hanss@9 :
🔥🔥🔥🔥🔥🔥✍️
2026-09-11 14:56:15
2
mti_kimti
Mti_kimti :
😂😂😂😂
2026-09-11 17:27:55
0
hassani5597
hassani :
😁😁😁
2026-09-11 14:57:28
1
sisumpembaa
sisu mpemba :
💓💓💓
2026-09-12 07:57:55
0
To see more videos from user @islamicswahilinet, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About