hongera sana bint yangu kwa huduma au karama uliyo nayo Mungu azid kukutunza kwa ajili ya utukufu wake
2026-09-11 18:14:08
12
Happy Sapphire Onyx :
hata mimi nakushukuru BABA WA MBINGUNI
2026-09-12 13:27:19
2
Mc Mcheshi :
sjui wangapi tumebarikiwa na huduma ya Dada yangu[Heartwarming][Heartwarming]
2026-09-12 08:02:03
6
MIN ABELY PATRICK :
blessed my sister
2026-09-11 15:23:50
2
zeeb yousila :
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭 mungu wanbinguni naguchukuru kwa mates naumasikin naumivu yasio yicha ahsante mungu
2026-09-11 20:24:18
0
meme❤🦋 :
ni vile kitu mungu ameweka ndani yako kimekua faraj kwangu 🙏🙏mungu akubariki sana da janeth🙏🙏🙏
2026-09-11 16:45:58
9
Daughter of GOD✝️🙏❤️🔥🍓 :
uyu dada nyimbo zake ni za kushukuru aiseeeeeee MUNGU nitakushukuru Kwa Kila kitu✝️
2026-09-12 04:51:05
2
Neema Makabali :
Ila Yesu Huyu 🥺 nyie Yesu huyu aaah
Anafanyaga adi tu nashindwa kuongea tunalia tu 😭 Yesu Tunashukuru kwa mema yote
Hataka hujafanya kama tulivyotaka ila tunaamini ndio majibu ya maombi Yetu Asante Yesu🙌
2026-09-12 06:58:15
4
Mom’s precious 😍 :
kila nikisikiliz nalia t 😭😭😭🙌
2026-09-12 15:29:43
0
Woman Of value@lil(AGRONOMIST) :
Ur blessed Ccy🙏💝
2026-09-11 15:25:53
2
EdwardDismas_ :
🙌😭Hata sijui nalia nn........!
2026-09-11 15:37:19
2
James Charles :
ungekua unajibu comet ningekwambia neno moja ila nabarikiwa saan na huduma Yako🙌🙌🙌 utukufu Kwa mungu
2026-09-12 15:13:04
0
@cecyliah20 :
Amen 🙌 ♥️♥️♥️, biblia Katika waefeso 3:20-21"atukuzwe yeye awezaye kufanya mambo ya ajabu mno kuliko tuombayo au tuwazayo"🙏