je kama umeoa mwanamke mwenye kiburi,jeuri hasikii na umefunga nae ndoa kanisani unafanyaje?
2026-09-12 08:14:46
14
neemasilvester523 :
Asante baba kumbe nipo sawa kijana wakazi aliniletea dharau nikatimua chapu
2026-09-12 07:47:05
12
malisa27@ :
Nina story kuhusu hili kunae best yangu mmoja alimtafutiaga rafiki yake kazi kwenye saluni ambayo alikua anasukaga yeye na familia yao yule dada akawa na kiburi kwenye hio kazi mpaka boss akawa amemchoka akafanya mpaka wenzie waliofanyaga kazi hapo miaka na miaka wakawa na kiburi siku moja boss akaja akafukuza wote akawa anasukaga mwenyewe mpaka akapata watu wengine
2026-10-23 10:17:53
1
mzava brand boy :
Asante pastor. je na boss akiwa na kibur kwa wafanya kazi wake je !?. maana unakuta boss anatoa oda nje ya mda wa kazi au anaenda tofautiimakubaliano
2026-10-22 05:26:42
0
hosiana9889 :
Tayari imeshamfikia jamani 🥺😢
2026-09-12 10:03:44
5
Tiktok User :
Hata kama ni ndugu?
2026-09-19 04:31:49
3
user61940174288770 :
true
2026-09-12 06:36:52
3
Rose Dhahab :
Àmeen
2026-09-11 17:28:07
4
mwalemi hardware :
amen
2026-09-12 09:26:19
2
Asumani Motors backup :
Thanks
2026-09-12 17:02:03
2
chazz :
Amina
2026-09-12 04:44:08
4
Fatuma :
very good
2026-09-13 11:06:53
1
mariam s :
kabisa
2026-09-13 08:22:33
1
Stasha_lingerietz :
2026-09-14 06:08:44
1
magretsamwel32 :
kweli
2026-09-12 13:25:02
2
OFFICIALL WAKUTUPIA %✔️🏹🏹 :
amen
2026-09-12 06:38:45
3
Mr Asunga Billionaire :
amen
2026-09-12 07:36:35
3
Kim :
Amen 🙏🙏🙏
2026-09-18 23:15:40
2
Jenifer Reuben :
nikweli baba
2026-09-26 11:52:01
1
stellamrema98 :
mafundishoo ni dawa
2026-09-15 09:10:55
2
Mamyto :
Jaman tuwe makin Sana na vitu kama hivi , unaweza ukajikuta unaingia kwenye matatizo bila kutegemea na hii ndo shida ya sisi watanzania na inatuponza sana unakuta mtu yupo serious kabisa anasoma comment yangu badala aandike ya kwake.😂🥲😂
2026-09-13 07:53:55
2
Rose Mushi :
kweli kabisa
2026-09-12 11:25:09
2
Ellen Ernest :
kweli
2026-09-12 12:53:41
2
Bervone :
2026-09-12 09:07:04
2
@SlimLeafWithHabby05_ :
🙏🙏🙏
2026-09-13 05:26:48
1
To see more videos from user @butale_tv, please go to the Tikwm
homepage.