@wakojacko.spare.p: Jamani Mzee Wetu Tumempata Na Ayo Ndo Machache Kuhusu ile Ajali. #rava4 #Ist #toyota

WAKOJACKO SPARE PART
WAKOJACKO SPARE PART
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 11 September 2026 15:05:55 GMT
172049
22343
582
341

Music

Download

Comments

jamesmaneno307
sinani official :
mungu awajalie walio msamehe aisee
2026-09-11 16:24:57
190
fikra.huru7
Old man👳‍♂️🎅 :
kumbe angelipa tuu kachangamka hivi[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-09-11 16:59:52
319
officialhamijey
official hamijey :
😂😂😂mzee kwakweli nilikuonea huruma sana na ndo mana hata mimi nilikusamehe mana uligonga na bajaj yangu japo haijahalibika sana
2026-09-11 16:01:58
311
gaudesia.nicholau
G. Nick :
Asantee Yesu maana yule Dada alimjia juu baba wawatu hadi nikawa namuonea huruma
2026-09-11 16:43:12
130
khajirahhajira
Khajira Hhajira :
nilikuwa na hofu adi nililia
2026-09-11 16:26:29
43
cxg62
SIXG :
agegonga IST au RAUMU akaona moto wakeeee😂😂😂
2026-09-11 16:21:09
61
bizzymtani
bizzymtani :
Najua 🫵🏻 umeshika simu kwa mkono wa kushoto kama hautaki mniuwe
2026-09-11 15:46:51
249
user2261795855002
miss momo🧚‍♂️ :
daah mzee kashakuwa superstar😂
2026-09-11 16:56:49
21
datyanog
Dattyan Og :
MZEE NIMEMSAMEHEE NA GARI LANGU LIKO SALAMA PIA NILIMPA ELA AKAEKE SAWA BREKI YAKE..!!! UMAKINI NI MUHIMU BARABARANI
2026-09-11 17:33:37
13
kubangaiza.m.kund
Kubangaiza M Kundavi :
Daaaa afadhari jamani Mungu ni Mwema na Mwenye chombo pia Ni muungwana
2026-09-11 16:18:37
35
me__and_u_
🥂Mimi🌤️ :
atleast he’s smiling now 🥰
2026-09-11 17:18:24
3
dr.tonny_
GRAND ROUND :
wachu wachu.
2026-09-11 16:37:45
0
de_shayo17
de_shayo17 :
Wazee wa challenge 😂😂
2026-09-11 16:35:28
0
kimich.twaha
𝑪𝒖𝒆𝒗𝒂 🔜🚦🛣️ :
𝐴𝑥ℎ𝑎𝑎𝑛𝑧 𝑘𝑢𝑡𝑟𝑒𝑛𝑑 𝑥𝑥 😁😁
2026-09-11 17:09:19
0
sandali7042
sandali :
eti nae Kawa star
2026-09-11 17:04:33
0
mjsmg4
KHIM :
Waha na Hizo simu sjui nani wa kuwatenganisha nao
2026-09-11 16:11:11
41
va_nce_21
va_nce_21 :
Waziiii🙏🏿🙏🏿
2026-09-11 15:40:09
0
yoypqq4
🌹🌹 :
hata kama kasamehewa ka ilikuwa rizki yake kupata chochote kitu kupitia sisi mwache apate akatengeneze chombo chake 😎
2026-09-11 20:11:45
5
user1316260114428
user1316260114428 :
Tunashukulu sna nilikuwa tayali kuchanga
2026-09-11 16:16:53
6
kadoshi46
kanungo :
Mwneyezi Mungu amesikia maombi yetu. AMEN
2026-09-11 17:09:51
15
......0555
S 055🪬 :
Daaah huyu Baba hana Tamaa bado tunataka kumpa ata ela ya Kuongea ukwel...🙏
2026-09-11 17:28:58
23
william128609
William@12 :
sasaiv TU atakuwa contet creator ataanza kufanya chalenge
2026-09-11 16:54:31
16
bpn394
user361844268103 :
siyo kumsamehe, Bima yake ambayo ni third party ndo italipa!!!
2026-09-11 16:37:15
12
kakaatz2
kakaa :
kweli ndugu pole broo
2026-09-11 15:18:57
10
To see more videos from user @wakojacko.spare.p, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About