@millardayo_: Mjadala umeibuka katika Baraza la Wawakilishi Zanzibar kuhusu matumizi ya kamera za kudhibiti mwendo kasi barabarani, baada ya Mwakilishi wa Jimbo la Paje, Jaku Ayoub kuhoji hatua zinazochukuliwa dhidi ya magari ya Viongozi yanayokiuka Sheria za Usalama Barabarani. Jaku amesema ameshuhudia magari ya Mawaziri, Manaibu Waziri na mengine ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) yakiendeshwa kwa mwendo kasi unaokiuka sheria. Ametaka magari hayo pia yapigwe faini, akidai utekelezaji wa Sheria unaonekana kumkandamiza Mwananchi wa kawaida huku akilalamikia ukubwa wa faini zinazotozwa. Akijibu hoja hiyo, Naibu Waziri wa Mawasiliano na Uchukuzi Zanzibar, Badria Attai amesema Sheria hizo zinawahusu wote na hazilengi kuwakandamiza wanyonge kwani yapo magari ya SMZ yaliyo kwenye rekodi za makosa ya usalama barabarani. #MillardAyoUPDATES
mweshimiwa jaku apo nafasi hupewi kwa swala la kutetea umma
2026-09-11 16:17:58
43
Alpha swift ride and tours :
majibu mabovu. wao ndo hao wanoendesha mbioo. haiwezekani Katika gari 1000 za serekali ziwe 8!?!! does it make sense??
2026-09-11 15:20:05
28
my name is.. :
no one above the law
2026-09-11 16:20:32
1
Makamo wa Raisi :
KAKA WAMBIYE TUNAONEWA SANA NAKUSHUKUR SANA UMENIWAKILISHA
2026-09-11 17:00:39
12
Khalid :
Waongo wakubwa. Gari zote za SMZ, MAWAZIRI NDIO hawafati sheria
2026-09-11 17:11:54
10
fighter :
ayo magari ya serikali mie naona ndio namba moja kuvunja sheria barabarani
2026-09-11 16:48:57
11
Mohd9095 :
Waambie Hao boss JAKU
2026-09-11 16:44:36
5
Abdul :
katika gr zinazo ongoza kw ruff ni gari za smz
2026-09-11 19:07:23
9
Salum salim :
zanzibar gar ya serikal haikai kweny foleni wazee wa kuforce hawasimami kweny traffic light hawajui asa km kuna zebra kross 😂 pa speed 50 wao mia na 20 kuna SLS hawa ndo noma 😂
2026-09-11 17:14:50
6
African beauty :
kwanini hakujibu kuhusu fain za papo kwa kuwa hazitakiwi kuvuka dola 15
2026-09-11 16:19:15
8
Zahor Mohammed :
jee hizi gari za serikali zinazobandikwa namba za private mfano zile KIA Sorrento mnazidhibiti kwa namna gani maana hata wakati wa kazi utazikuta zipo ofisini na namba za private na jioni na weekend zinapiga misere kama sio za serikali like hili
2026-09-11 19:07:35
2
OLD TIMER :
Sikweli KIEMBE SAMAKI Zikipita Kama British Air force
2026-09-11 17:21:30
5
alifya heena artist :
Mmmh sio kweli, nimepishana na magari ya serekali mara nyingi njia ya migombani na honi unapigiwa usogee apite mabio
2026-09-11 19:34:28
0
mduo :
kheeee madereva wa serikal tunaowajua sisi au wengn sielew
2026-09-11 15:35:39
2
Hamdoun Mansour :
je camera zinajua kwamba vi today huvai helmet?
2026-09-11 19:55:53
0
medizo_08 :
umeongea point sna
2026-09-11 16:47:22
1
THE TALENT’S CUP ZANZIBAR 😇🥰 :
wanazingua, speed ukifika 60 tu 233000
2026-09-11 16:40:54
1
yoki nero :
2naweza kuongea then mka2funga
2026-09-11 17:44:17
1
Ichufresh Saleh :
Jee msafara ukitaka kuja nyuma yako kwenye camera askari anakwambia apo uwende mbio kwenye camera jee kwanini tunapigwa fine
kwa kweli zanzibar bado hatujafikia iyo hatua ya kuwekewa camera za barabaran yani bado kabisa hatujafkia iyo hatua
2026-09-11 16:26:27
2
Abullet_Mapara :
kuna siku hii serikal itakaa kitako kuwaza kuhusu manufaa ya raiya wao mana naona akil zao zinafanya kaz vzr kwenye kuwalanguwa tu,pia camera haizuwii mtu kufa barabarani pia tozo kubwa dola 100 kwa kosa hii tozo ipo znzbar tu ktk hii dunia,kikubwa mupate mda wakuwaza kukuza na kipato cha raiya wenu tutawachukia hamta amini.
2026-09-11 22:17:06
0
Bill Nass(505) :
excellent
2026-09-11 22:23:37
0
To see more videos from user @millardayo_, please go to the Tikwm
homepage.