@fitstars_1: 🥗 Unatafuta kupunguza uzito? Anza na uchaguzi bora wa vyakula. Hizi ni baadhi ya mifano ya sahani zenye mchanganyiko wa protini, mboga, matunda na wanga ambazo zinaweza kuwa sehemu ya mpango wa kula wenye uwiano. 💚 🌅 Asubuhi: Sahani ya 1 ☀️ Mchana: Sahani ya 2, 3 🌙 Jioni: Sahani ya 5 Hakuna ulazima wa kujinyima chakula zingatia portion zinazofaa, mlo wenye uwiano na mtindo endelevu wa maisha Kumbuka: Muda wa kula ni sehemu ya mpangilio; aina na kiasi cha chakula pia vina umuhimu katika mpango wa kudhibiti uzito Unahitaji mwongozo wa kupunguza uzito? 📲 Jiunge na FIT PROGRAM yetu kwa mwongozo wa lishe na mtindo bora wa maisha unaolenga usimamizi wa uzito 👉 Tuma DM kupata maelezo zaidi #kupunguzauzito #healthyeating #balancedmeals #weightmanagement #fit