@bbcnewsswahili: 'Waambieni Watanzania mwenyekiti yupo vizuri hajachoka' Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, amewahakikishia Watanzania kuwa bado yuko imara na hatarudi nyuma katika mapambano yake ya kisiasa. Kauli hiyo ameitoa baada ya kesi ya uhaini inayomkabili kuahirishwa hadi Septemba 14, 2026. #bbcswahili #fyp #foryou #tanzaniatiktok #uhaini #chadema

bbcnewsswahili
bbcnewsswahili
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 11 September 2026 15:21:18 GMT
58635
4631
126
70

Music

Download

Comments

zolaba3
Wazir :
Wanaomtambua lisu Kama presida gonga like
2026-09-11 16:51:08
46
user1751706361096
The middle :
mbn kaz wanayo
2026-09-11 16:02:13
7
dollar_sign_tz
☥ Ba Mchaga ☥ :
Tuna matumaini na wewe🫡🫡
2026-09-11 15:55:24
36
mandelasout
JRKIDD :
maybe not today maybe not tomorrow but one day
2026-09-11 15:25:01
15
user6747808303953
Shadrack :
I like the confidence in him...🥰🥰🙏🇹🇿❤️.
2026-09-11 16:22:41
2
its_honest_boy
👑 F R Å Ñ K 💎 :
Never give 🆙
2026-09-11 16:21:45
5
msiwayingamwashel1
Kiuno Cha Selemala :
God Bless you man of God
2026-09-11 17:54:16
1
sabahali349
Sabah Ali 349 :
Ulisema atakinukisha mwisho wake umenukishwa wewe duuuh kweli Siasa ni mchezo mchafu .
2026-09-11 16:19:02
4
dicto448
Dicto :
Mwamba anatu inspire sanaaaa
2026-09-11 15:40:24
10
frankiempenda443
FrankieJr.💯 :
Man ov GOD
2026-09-11 15:51:41
4
denis.minja4
Denis Minja :
Katiba Mpya ni Sasa
2026-09-11 15:58:57
18
yohana.mhagama3
Yohana Mhagama :
tuta mkumbuka uyuu kwa vyovyote
2026-09-11 16:01:02
13
naseebismailyshil
Official Naseeb junior :
Free Tundulisu....
2026-09-11 15:25:18
18
dominic.welding
Dominic Welding :
Wanaompenda lisu gonga like
2026-09-11 17:53:34
2
chunyaempire21
Chunyaempire21 :
2026-09-11 15:48:12
5
jackyson.tz
Jackyson Tz :
Mwamba kwel Mungu amekuleta kwa makusudi yake
2026-09-11 15:47:09
5
jimmykaaya9532
Mrisho Jr :
mungu akulinde rais wang
2026-09-11 16:31:19
4
denis.minja4
Denis Minja :
Free Tundu Lissu
2026-09-11 15:58:31
1
popote863
popote8 :
lissu ongea kiswahili wana ccm hawaelewi kizungu
2026-09-11 17:00:54
7
ngwanayande2
Ng`wanayande :
nimefrahi sana kuona mwenyekit akiwa bado na tabasam la furaha moyo wake uko na amani tere
2026-09-11 16:18:01
8
korro_man
Clem_korro :
Mungu akubariki Mwenyekiti Tundu Lissu. Naona watawala wamechanganyikiwa. Wanashangaa na kujiuliza mbona una amani na furaha na wala huna huzuni pamoja na madhila yote wanaokufanyia. Continue to be strong. There is light at the end of the tunnel.
2026-09-11 16:09:03
6
mandelasout
JRKIDD :
never give up
2026-09-11 15:24:49
3
boscotheodory2
boscotheodory2 :
tuna kukubali mwenyekiti
2026-09-11 16:23:38
3
mikejonathan66
raymond87 :
never give up...
2026-09-11 15:52:21
3
valencia23251
Valencia :
mzee ungea kiswahili kuna watu fulan apo hawaelewi ngeli
2026-09-11 16:17:49
2
To see more videos from user @bbcnewsswahili, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About