@bbcnewsswahili: Unafahamu kiumbe gani ni hatari zaidi duniani? Hawa ndiyo viumbe 10 hatari zaidi kwa binadamu duniani kwa kuzingatia idadi ya vifo wanavyosababisha kila mwaka. @carorobi anaelezea orodha kamili #bbcswahili #wanyamahatari #utafiti #fyp #foryou
Even water it’s a creature and to my thinking capability is the most dangerous creature in the world
2026-09-12 15:05:17
0
Lion Billioneire :
umesahau wanawake
2026-09-12 15:19:37
10
𝐷𝑒𝑒_🦁 :
hivyo vifo ni vya watu au wanyama
2026-09-12 16:59:21
2
zigeonlover :
jamani umesahau mapenzi ..mapenzi nayo yanauaa
2026-09-12 15:34:57
6
zombie--icon✨ :
seriously
2026-09-12 15:16:50
2
잔ㄴ지발 :
namba ni binadam ni zaid ya watu milion kwa mwaka ww tazama vita
2026-09-12 15:08:08
3
wvinjila :
apo weka Israel na USA
2026-09-12 15:04:23
1
Angel Style Hub🔥 :
Me ni mchaga na cjawah jua kuna muuaji anaitwa chaga 😅
2026-09-12 15:55:08
6
Born to suffer :
Kwa maoni yangu nahisi "Binadamu anasababisha vifo vingi zaidi kuliko hata hivyo ulivyotaja kwa mwaka. Kwa mfano ni watu wangapi wasio na hatia duniani wamekufa mwaka huu kwa vita nchini Irani, Israel, Ukraine, Russia, Syria, Yemen, South Sudan na nchi nyinginezo ? Wangapi wameuwawa na Makundi ya kigaidi ? Wangapi wamekufa kwa sababu ya ujambazi au ugomvi ?, Wangapi wameuwawa kwa sababu ya hila au wivu ?
2026-09-12 18:45:47
0
Fredy chacha mkome :
mmemuonea mbu wa watu namba 1 ni binadam
Ukraine,Iran,mo29,marekani,south Africa, Sudan, urusi,Israel Palestine na wote ni makusudi
2026-09-12 19:15:11
0
WALLECY😁 :
binadam ndio namba Moja. marekani na Israel wanauwa watu wengi sana kwa mwaka. binadam anashika nafasi ya kwanza paka ya 5
2026-09-12 18:59:34
1
lemamolelilemamoln :
binadam nizaidi yasimba
2026-09-12 19:19:45
0
flash wa pekee :
hapna
2026-09-12 18:22:31
0
kisamya barogi :
nafikir Kwa uelewa wangu namba 2 ingekuw mbu alafu namb 1 binadamu Maan hat hiyo mbu Ni matoleo ya binadamu maabara
2026-09-12 18:56:12
0
Madevu sound :
me nafikiri binadamu ndiyo no 1
2026-09-12 18:55:33
0
Maulid Zanzibar :
Simba haendi kwa mganga
2026-09-12 17:57:32
0
Assey collection ❣️ :
mbu jmn ni noma ila amzidi binadamu jmn
2026-09-12 18:41:34
0
ROSIE NGANDU :
Ndiyo kweli
2026-09-12 17:46:57
0
sss :
no 1 netanyahu
2026-09-12 17:36:53
0
J.kaaya :
Kuna mbu wa dengue na
Oct Shirin nakenda
2026-09-12 18:18:59
0
HIDHIRI :
إِنّاللّهَلَا يَسْتَحْيِي أَن يَضْرِبَمَثَلًا مّا بَعُوضَةً فَمَا فَوْقَهَا
“Hakika Allah haoni haya kutoa mfano hata wa mbu au kilicho juu yake.”
(Al-Baqarah 2:26)
🌿 Funzo kubwa
Mbu anaweza kuonekana kuwa kiumbe kidogo na kisicho na thamani, lakini Allah anatuonyesha kwamba hata kitu kidogo kabisa kinaweza kuwa na hekima na funzo kubwa.
2026-09-12 18:04:05
0
peki :
binaadamu ni namba moja, gaza wamekufa wangapi
2026-09-12 17:41:25
0
MBWENI JKT ZOO :
nzuri
2026-09-12 15:05:08
0
To see more videos from user @bbcnewsswahili, please go to the Tikwm
homepage.