Kumuamini mtu aliewahi kukuumiza ukampa nafasi alafu kikulambe tena nyie inaumiza sanaa💔
2026-09-11 17:00:51
53
JACKIE COLLECTION❤️ :
aiseeeeee more than pain😪😪😪😪😪
2026-09-11 18:47:59
0
Emy :
Uwezi muelewa uyu dada kama ujawai pitiha changamoto
2026-09-11 17:49:56
21
☆❣️𝑽𝒊𝒏𝒕𝒂𝒈𝒆 𝒈𝒊𝒓𝒍❣️☆ :
Ndo manaa paula anamwomba mungu huu uwe mwaka wa mwisho mama ake kuteseka na kulia kumbe ndo hvi😭😭 apo ni mbele ya kamera vp akiwa mwenyew nyumbn daah 😭pole yake
2026-09-11 17:22:35
25
Grace :
Uyu dada anateseka aisee🥺🥺ni vile tu basi tu mapenzi yanamtesa sana😳😳
2026-09-11 16:00:20
11
Pretty lily🦋🦋 :
Mm sipend jmn
2026-09-11 15:52:57
1
zizah :
waatarudiana me nasali kwa ajili yao 🥰🥰 wanapendana sana jmn
2026-09-11 17:37:40
4
Gee Store🦋 :
Maisha Bila Msaada Wa Mungu Ni Kama Uko Kuzimu Hapo Hakuna Wakumwelewa Zaidi Ya Mngu Asie pima Mzani Wowote Wa Makosa Yako It Either God Or God...Yan Ni Mungu akunonekanie Tena Na Tena
2026-09-11 17:40:45
9
kilengele :
kunywa maji ushushe hasira
2026-09-11 16:46:06
1
Lucycute🍒 :
Kajal inatosha move on mungu atakuap mwingine sahihi
2026-09-11 17:15:38
4
H zero❤️❤️ :
huyo ni mm tuna mioyo midogo sijui jinsi ya ku move on ata
2026-09-11 18:48:32
0
🥰 :
huyu dada ananiuma sanaaa aisee mungu atakulipia kipenzi
2026-09-11 17:41:46
1
Soft :
Mapenziii bhas tu
2026-09-11 18:49:04
0
sarah♥️♎💫 :
kajala itakuwa ni Libra sisi na mapenzi ni maji na volcano 😅
2026-09-11 19:16:49
0
Maria noah :
ad nimeanza kulia namm
2026-09-11 19:19:00
0
Melanin :
Kajala Ana maumivu mengi sana haswa ktk mahusiano
2026-09-11 19:07:16
0
Savage queen 👑🖤💫 :
Jaman sio kila changamoto ni harmonize watu wanapitia mengi jaman nje ya mahusiano