Don't joke with prophet Rodgers prayers,I can testify ,God bless you prophet. I salute you 🙏🙏
2026-09-15 10:16:30
2
California EE :
thanks 🙏🙏🙏
2026-09-15 09:39:02
0
𝓅𝓇ℯ𝓉𝓉𝓎_𝓂𝒶𝓃𝒹𝓎♋ :
He is a very powerful man of God; I can testify to that🙏😊
2026-09-12 21:37:06
4
DESTINY VISION SALON :
ndugu yangu aliyekuwa wazimu akienda haja kubwa ndani ya nyumba sasa hivi anaenda chooni, Mimi nilikuwa na roho ya kukataliwa sasa hivi nanganganiwa baada ya kuitumia mate majivu mafuta kioo na maziwa.... Mungu akubariki umekuwa wa baraka kwangu prophet 🙏🏻🙏🏻🙏🏻
2026-09-11 19:16:28
3
Kingsamir207 :
Kumbe huwa unajisahau skumoja moja pastor
2026-09-12 22:18:55
0
josephineatieno71 :
Huyu naye Tunampenda our prophet,mungu akulinde siku zote
2026-09-11 17:32:43
2
pauloibrahim245 :
Mimi Toka nimekujua niliacha kwenda kwa mganga 😂😂😂 mpaka naitwa mchawi ety
2026-09-14 06:47:42
1
Ongezeka Ongezeka :
Vemaaaa
2026-09-14 19:53:17
0
Sister Fau :
Ameni ❤️🥰❤️❤️
2026-09-14 13:39:34
0
Esther kasembi :
na zidi kubarikiwa Asante
2026-09-14 21:32:13
0
Susan Kioko :
Amen Amen 🙏
2026-09-12 06:55:15
1
Alexandrine Ch :
Baba wewe ni babayangu unanipelekaka kirohonajuwa kupitiya mambo yako nitabarikiwa
2026-09-15 04:12:19
0
Liva :
prophet ninayemuamin Mimi wengine mniache
2026-09-14 07:03:56
0
Rujjie✨️💯 :
Mtu wa maaan sana💯💯
nimeyashuhudia kwa kweli 🙏
2026-09-14 13:45:53
0
Raines Matayo :
mchungaji niombee nipate mume
2026-09-11 16:06:47
0
Fanny lisa :
Kioo ,Majichu, tchumvi ,mate tshombo, ongeza simba wa yuda nyota ina waka, aksante profet. mungu akubariki.
2026-09-11 16:11:00
1
Esther :
👮
2026-09-13 21:10:23
0
DESTINY VISION SALON :
ubarikiwe prophet ulinifunza maarifa ya kioo na majivu nikafundisha mamangu mzazi akafanya!!! guess what!!!! sisi tulikuwa tumefungwa boma imefunguliwa pakubwa sasa hivi dadangu mkubwa anatolewa mahari kesho jumamosi...... Mungu akubariki mtumishi 🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
2026-09-11 19:13:05
2
ester :
ubarikiwe sana mtumishi
2026-09-13 19:51:01
0
Hilda.nassoro :
ameen.mungu.akubariki.sana
2026-09-13 18:57:43
0
linetjiveti :
barikiwa mutumishi wa Mungu 🙏🙏🙏🙏
2026-09-13 19:56:23
0
Karey Loise :
wapendeza sana mtumishi wa mungu
2026-09-15 09:23:02
0
Rina :
bonjour pasta
2026-09-15 21:46:11
0
roselyn :
pastor niombee nifunguliwe kiuchumi pliz,,ninamadeni sasa nataka niludishe kilaisi🙏🙏
2026-09-13 19:26:12
0
Jean Sampa1990 power of 👅👅👅 :
ubari kiwe baba na shundiya mimi
2026-09-11 16:13:50
0
To see more videos from user @prophetrogersministry, please go to the Tikwm
homepage.