@emanuel_walwa: Kopa kukuza biashara, usikope kuanzisha! 🚨 Watu wengi hufanya kosa la kuchukua mikopo ya ili kununua viwanja au kuanzisha biashara. Matokeo yake, pesa inakuwa "dead money" huku makato ya benki yakiendelea kukata mshahara wako na gharama za maisha zikipanda. Kanuni kuu ya kukopa: • Anza kidogo na jaribu wazo lako kwanza kabla ya kukopa. • Chukua mkopo pale tu biashara inapokuwa tayari inazalisha faida na unahitaji kuipanua. • Mkopo sahihi ni ule unaojilipa wenyewe kupitia faida inayopatikana. Kitabu cha MAISHA NI ZAIDI YA CHAKULA-Engineer Kabenda kinapatikana kwa mawasiliano-0779928867 🔔 Subscribe na Tazama video nzima YOUTUBE SCCULT ONLINE TV #ElimuYaFedha #Uwekezaji #Mikopo #RealEstateTanzania #BiasharaNaUjasiriamali
Mfano: Wewe unaishi mahali unalipa kodi laki 3, kila mwezi, ukaenda kukopa ukajenga nyumba na ikakamilika ukahamia, endapo makato yako ya mkopo ni laki 5, baada ya kuahamia ile laki 3 ambayo ulikuwa unalipa kodi kila mwezi ukaifidia kwenye makato, badala ya kuwa unapoteza laki 5 ya makato kila mwezi, sasa utakuwa unapoteza laki mbili kila mwezi baada ya kutoa ile laki 3, mwesho wa siku kodi ya kila mwezi huto lipa tena badala yake utalipa makato ya mkopo ya laki mbili, na nyumba unamiliki je huoni hiyo ni faida????
2026-09-11 17:08:16
1
hammysi :
Mfano:
2026-09-11 17:02:43
1
Sceb23 :
Akili za kuambiwa changanya na zako. Mitandaoni watu waongo sana
2026-09-11 17:37:32
1
To see more videos from user @emanuel_walwa, please go to the Tikwm
homepage.