Kiredio ametoka mitandaaoni kwa ajili anabiashara anatarajia kuzindua nasio mapenz pin hii comment
2026-09-11 22:46:03
9
zulfitajebby :
anaonja aliokua akiwafanyia wenzake
2026-09-12 15:21:40
4
Irene_____ :
Mapenzi hayana huruma hadi REDIO inaumizwa 😂😂😂
2026-09-12 10:05:20
5
__ygtp :
Hii sio coz of mapenzi mark my words! Ni biashara na kama si biashara, ni the idea ya kujulikana yupo na vee, more of watu wata/wananionaje? Buh sio kwamba ety ni real love pyuuu hakuna
2026-09-12 11:53:17
2
beautiful :
kiredio ananitiya huruma sana
2026-09-11 19:12:29
0
Jj🇹🇿 :
Sasa nilie peke yangu 😂😂
2026-09-11 19:40:17
2
njowoka2024 :
tulimwmbia alituchamba mi ndio maana huwa nawaambia usiwe na wivu na mahusiano ya watu maarufu
2026-09-12 04:30:43
1
happness :
kwani ameachwa na veee
2026-09-11 16:33:02
0
Jusy :
sa tutawajuaje? 😂
2026-09-11 17:43:21
1
Rehema Nahama :
kwakweli
2026-09-11 16:26:36
0
LightnessJomba :
alie tu wakati anatengeneza contents za kudate wadada wengi alidhani vee ana moyo wa chuma?
2026-09-11 21:01:17
0
Neemso-storekariakoo :
si alisema anapata mwingine chap...😏
2026-09-12 04:05:05
2
Dorrie🦋❤ :
😅anguko
2026-09-11 18:38:22
0
official_Cerry 🥰🥰 :
sasa akilia ndo unapogiwa simu wewe ili iweje si anahisia kama wengine au
2026-09-11 17:59:02
0
usertumu01 :
sema yule v hakuonekana kudumu na hy kaka kapat umaarufu kaondoka
2026-09-12 04:41:36
0
halimaramadh0 :
simbayupo
2026-09-11 20:15:33
0
Jojo julie :
💔💔💔
2026-09-11 20:50:28
0
Toure :
😁😁😁
2026-09-11 20:22:04
0
koku_collection_zanzibar :
😳😳😳
2026-09-12 01:20:54
1
Specious🌹❤️ :
@kiredio njoo mwaya nikuliwaze me sipendi uumieee
2026-09-12 14:00:17
0
To see more videos from user @dramapopking_og, please go to the Tikwm
homepage.