@jsangijo: Nilifika makao Makuu madogo ya Chama Kusaini kitabu cha waombolezaji kufatiwa Kifo cha mzee wetu Hafidh Ameir Hassan Bwana Ametoa Bwana ametwaa Jina lake takatikifu lihimidiwe Amina 🙏 Pole sana Mhe.Raisi wa JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA kwa kuondokewa na mwenza wako mpendwa, Baba Yetu Mzee Hafidh Ameir Hassan. Mwenyezi Mungu akupe wewe pamoja na familia nguvu Katika kipindi hichi kigumu.

Jsangijo
Jsangijo
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 11 September 2026 16:45:04 GMT
6326
328
17
2

Music

Download

Comments

user8313012752450
Linah saimoni :
umepedaza sanaa kaka hangu
2026-09-11 16:53:34
2
linaheddy55
Linah_eddie🦋🧚‍♂️ :
Kaka
2026-09-11 19:10:44
1
mossesfish
the donly :
vip
2026-09-11 19:44:20
2
rosemarympina4
Rosemary Mpina :
humefanya vema kwa kutuwakirisha wasukuma kwenda kumpa pole rais wetu 🙏🙏
2026-09-11 18:14:04
1
shabanilissu
Shabanilissu :
small HQ,No please
2026-09-13 15:42:40
0
tinoboymakubazi
🇹🇿hussen🇨🇩faraji🇦🇺forogo :
kk upo sarama
2026-09-13 08:00:50
0
user8313012752450
Linah saimoni :
kaka
2026-09-11 19:20:23
1
pinelaitayok
Tinah❤️🥀 :
🙌🙏🏿
2026-09-12 15:59:13
0
To see more videos from user @jsangijo, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About