when leaders only want to hear what they like, leadership is finished
2026-09-12 07:28:35
0
lazarus kayan mollel :
One love mambo
2026-09-11 17:19:45
0
Paul368 :
waleteeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
2026-09-11 20:36:57
5
MD :
Taarifa imetoka wapi?,
2026-09-11 17:57:53
4
barazanje :
kwa nini wasiseme wakati wapo madarakani
2026-09-11 18:13:22
5
faraja :
CCM ishakufa mbona imebaki kuizika tu kabs
2026-09-11 17:54:58
8
daudkondo3 :
jee Kuna ukweli unayoyasema umepata wapi?
2026-09-11 18:04:33
4
k rang :
hakuna wa kuiondoa ccm hata kudogo muda bado na imefelu mision
2026-09-11 19:03:39
2
simbakitara :
ccm oyeeeeee
2026-09-11 22:24:19
1
Daniel :
tatizo CCM hawataki useme ukweli itawagalimu
2026-09-12 07:06:19
0
Swaleh Salim :
CCM imekufa hamna kitu hapo tena 😄
2026-09-12 00:48:11
4
William :
Hii ccm ya sasa hivi haiko active kama ile ya enzi za Horace kolimba hii ccm ya sasa ni dhaifu sana eti mpaka leo warioba,tibaijuka na Nape ni wanachama hawajafukuzwa this I nonese
2026-09-11 17:18:52
2
Francis Brighton :
Sasa wao Ccm itawasaidia nini Kwa lilivyo la hovyo
2026-09-11 20:22:11
2
suleiman :
uko sawa sawa mama
2026-09-11 19:46:58
1
Born to suffer :
Una uhakika na taarifa yako hii ?
2026-09-11 18:42:53
1
Subira Bendera :
hii ishaondoka
2026-09-11 18:42:37
1
Borah Lemmy :
kwani nilazima wawe ccm washauri waende chadema
2026-09-12 06:56:23
0
kida nux :
watoto wananamfukuza babu yao mungu yupo wapi imani tuiludie jamani
2026-09-12 05:46:45
0
daudkondo3 :
Kama ni kweli ccm itakuwa Kuna wasiopenda kukosolewa
2026-09-11 18:03:31
1
Seif Kabelele :
OK
2026-09-11 18:53:28
0
jumaamnyuzi :
kama ni kweli hii saaa ni aibu sana nchi hii inakwenda wapi
2026-09-12 06:36:36
0
user182170458 :
CCM Wameshafika Mwisho. Kwani Kutokuwepo CCM Ndio Nini
2026-09-11 20:06:39
0
sanga og :
ccm kwaheli
2026-09-11 17:57:12
0
John Nyamdaha :
haisaidii. chochote. zaidi ya kuwasha moto zaid
2026-09-11 18:32:38
1
cute lyne :
ccm ndo kwisha habari yake inapasuka vipande vipande waataanzana wao ķwa wao
2026-09-12 03:34:35
0
To see more videos from user @uhuru624, please go to the Tikwm
homepage.