Nimewahi kuwa na series ya maombi pindi nipo shule(A-level) na wenzangu but nowadays Mungu anionekanie..🙏🙏
2026-09-14 14:53:14
46
Ilias Mwangoge :
Dada consolata Yesu akujaze chochote unaomba
2026-09-13 15:15:28
63
2l_kingvanitéKASOLE :
1.unapo amka asubui, jambo lakwanza nikumshukuru Mungu.
2.Nena na bwana yesu siku lako lote, uku ukisema nae na kumumbuka.
3.jitaidi sana kumshukuru Mungu hatakama mambo hayaendi, yani unapo kwama ao changamoto, apana tu kwenyi raha.
4.soma biblia katika utulivu, wakati umetuliya.
ubarikiwe, Amen
2026-09-16 14:41:52
34
Maman asubui :
katika haya yote naomba Mungu aniwezeshe kusoma bibia kwa utulivu maana ivi vingine najaribu lakini sijaweza sana Ila huku kwakosoma biblia nikama nakimbizwa mungu nisaidiye
2026-09-12 15:36:03
49
Bety Kallomo :
barikiwa mpendwa
2026-09-12 03:44:09
55
cattie :
Nataman nimjue yesu zaidi 🥺
2026-09-12 17:09:46
37
Samwel Ibrahim :
asante kwa mafundisho ya wokovu na mungu akubarik
2026-10-16 04:13:38
8
FR PONTIEN SEFU :
Amen merci beaucoup ROHO MTAKATIFU AWABARIKI WOOTE KATIKA YESU KRISTU MZIMA
2026-10-11 15:46:34
8
Egbeth Kighenge :
Ameni Ahsante YESU kunikumbusha hili kupitia huyu Mtumishi wako,Barikiwa mno Mama
2026-09-26 15:27:35
5
TOTOTEMBO TV :
video hii ulikuja kwaajili angu mama
2026-10-15 19:42:40
6
lizzy the girl💎 :
nilikuwa na iyo tabia ata nikifanya kitu chochote uwa naomba au kusali,lakini baadae nikawa sifanyi tena ila kwa sasa naanza tena kwa jina ka yesu
2026-10-02 13:09:20
5
The woman of authority :
Amina,
2026-09-18 17:43:59
4
remedaustin139 :
Amina Amina
2026-09-12 10:48:39
11
luta :
tumekuelewa tuta omba kila pahali
2026-10-16 18:06:05
5
miracle de Patrick :
we believe🙏🙏🙏🙏
2026-09-16 20:12:41
8
Deborah@27 :
hii vedio sijuw shetwan kajua kunakitu chakunisaidia maana inagomagoma hatari
2026-09-11 17:52:37
36
@Mp brandi :
Ameni
2026-09-13 09:44:20
5
chura G$* :
Ameen 🙏 dada yangu nimepokea sn nilikuwa nahitaji hili fundisho
2026-09-12 11:31:00
9
papa :
Amina sana kwa mafundisho mazuri mungu akutie nguvu
2026-10-15 06:12:37
6
To see more videos from user @immaculateconsolata, please go to the Tikwm
homepage.