@frederic_actus: WAISILAMU MUNA mtafuta Mungu gani tena wakati zile şifa za Allah Yesu ANAZO zooote kabisa Isipo kuwa tu visababu VYENYU ohh Mungu gani kala , kunywa , katahiriwaaa 🤣🤣🤣 #bibilia #majini #aurani
Yesu hawezi kuumba chochote kwa sababu yeye C mungu
2026-09-12 19:40:18
2
Alawi :
Yesu akiwa Mungu na Mungu atakuwa nani.....?
2026-09-12 12:00:42
1
SAMSUNG_AREATZ🇹🇿 :
KWAHIYO MUNGU ANA MAFUNDISHO JINSI YA KUZINI NA WAZAZI WAKO?
2026-09-11 17:58:10
0
MSAFO JINA KUBWA :
Yesu alisema UMESAMEHEA sio NIMEKUSAMEHEA
So sio Yesu alisamehe Dhambi apo
2026-09-15 08:39:10
0
murad :
Yesu ni binadamu
2026-09-12 07:55:47
1
Ally Mihayo :
Kama aliitwa Mungu na akaitika mbona hakuna mahali anaposema aabudiwe yeye isipokuwa anafundisha tumwabudu Mungu? Mbona yeye mwenyewe alimuabudu Mungu ktk bustani ya gestemane na kwenye milima ya mizeituni? Wapi ilipoandikwa tumuabudu Yesu? Na kwanini huyu aitwe Yesu na yule Mungu?
2026-09-11 23:06:27
0
Almosty :
sasa yesu ni mungu akutana na alie muumba atamuitaje na mariamu atamuitaje na mariamu anamuitaje yesu na huo mariamu mungu anamuitaje
2026-09-12 12:28:05
0
mmedy :
yesu amesema umesamehewa hajasema nimekusamehe
2026-09-13 21:22:10
0
lil_abdy :
yohana 3:16 alimtuma mwenzie ni nani aliye tumwa ni nani
yesu alipokua msalabani alisema mungu wangu mungu wangu mbona umeniacha..nb alikua anamuambia nani kama ye mnyw ndio mungu
2026-09-16 20:04:25
0
ngwadu :
mm na swali moja 2 nataka kujua, yesu ni nani na baba ni nani?
2026-09-14 01:51:12
0
ms aminah💝💝 :
Allah atusamehe madhambi yetu na msamehe pia kijana wako maana hajui alitendalo linaghalimu kias gan
2026-09-14 10:37:32
0
Alex Sarumbo :
Yesu ni njia
2026-09-13 17:18:53
2
El Raissa♥️💌 :
Jésus Christ est Seigneur 🙇♀️🙇♀️🙇♀️🙌🙌🙌🙌🙏🙏🙏🙏
2026-09-14 21:30:49
1
alimondbenson8 :
yesu ni Mungu Mkuu, Soma Biblia Tito 2 .13
2026-09-14 04:59:08
1
Marcel Drc :
Amen amener
2026-09-13 19:30:36
1
Jagina.1 :
sasa ivih Ndacha anafundsha Yesu sio Mungu. Ameelewa vzuri somo kutoka kwa walimu wetu kina Mazinge. hii vdeo ya zaman emhu search hapi ndacha na mwankemwa kamskilize
2026-09-14 22:27:19
1
banitongwa kocriyamo William :
amen
2026-09-13 13:35:03
1
Members Wa yesu :
The name of jesus christ
2026-09-12 14:24:23
4
charlinekikomibwa :
Gloire a mon créateur gloire a mon sauveur kimbangu
2026-09-13 17:47:05
2
BIENVENUE FURABHO :
amen
2026-09-13 05:47:26
1
John Paul mkuya :
Mathayo 9:2
Aya ya Biblia (SUV): “Na tazama, wakamletea mtu mwenye kupooza, amelala kitandani; Yesu, alipoiona imani yao, alimwambia yule mwenye kupooza, Jipe moyo, mwanangu, umesamehewa dhambi zako.”
Maelezo yake
Mtu mwenye kupooza: Aliletwa kwa Yesu akiwa hawezi kutembea, akiwa amelala kitandani.
Imani yao: Yesu aliona imani ya waliomleta, akiwemo mwenye kupooza na wale waliomsaidia.
“Umesamehewa dhambi zako”: Yesu alimwambia kwamba dhambi zake zimesamehewa kabla ya kumponya kimwili.
Mamlaka ya Yesu: Katika Mathayo 9:3–8, waandishi walimshutumu Yesu kwa kukufuru kwa sababu ya kusema amesamehe dhambi. Yesu akaponya mtu huyo ili kuonyesha kwamba Mwana wa Adamu ana mamlaka duniani ya kusamehe dhambi.
2026-09-12 18:38:50
1
Breezy_wiz🎭 :
juweni Mungu Sio mwanadam au kiumbe chochote Hapa duniani au Kwa sayal yyt Ile , ukitaka kumchunguza Mungu na umpate nikitu ambacho hakiwezekani ngumu inakugharimu kuwa muovu au Hata kufa au kuwa chozi , ufahamu Wako timamu Juwa Tu Mungu ni mmoja Tu na ni mwenye majina mengi Kwa kila dini kabira na mtamkwa, kikubwa fahamuni Mungu ni mwingi Wa rehema na mwenye kurehemewa yaani kuabudiwa , Kwa kiufupi Mistake kumchunguza sn ila Mufate Ibada ya Haki yk ambayo utajuwa wewe ukichunguza dini gani inayo mwabudu Mungu 1
2026-09-12 22:46:19
1
willywilly6509 :
amen 🙏🙏🙏🙏
2026-09-12 17:33:42
1
To see more videos from user @frederic_actus, please go to the Tikwm
homepage.