@abisainzali: JUMAPILI HII 13/09/2026 SEMINA YA NENO LA MUNGU DAR ES SALAAM. USIPANGE KUKOSA NI PALE PALE TABATA MAGENGENI BENKI YA CRDB GOROFA YA TATU. KWA MAELEZO ZAIDI PIGA 0781 495 198 UPATE MAELEKEZO.
upp huru wakati unakomaa mass media,
uhuru ni hekima,
lkn mnapotosha jamii sana kwa kuongea stories nyingi ambazo ni non practical,
laws of nature, Dunia huwa inaji operates sio theoratical
2026-09-11 17:50:15
1
fa*** :
wazungu walifanikiwa kutufanya watumwa milele kupitia wazazi ? kwann afrika tunaishi maisha yaainamo
2026-09-11 19:39:53
0
Josephine Petro :
Amina 🙏🙏🙏
2026-09-11 20:57:52
0
stellah ❤️🇹🇿 :
mimi sipo huru kabisa na kaz angu hadi kusal nashindwa kila siku kazin naumia sana moyoni