monicasenga marwa :
mhhhhh, Umeongea ukweli Babangu, Elimu ya sasa ni Bora yetu ya zamani za sayansi kimu, 1992, kuliko watoto Hawa wa 2000,,,,,, inauma sana, hawajui chcohote, 😭😭😭😭😭😭😭😭😭. ni mzigo kwa familia na mzigo kwa Tarifa,
Hon. Hayati Edward N. Lowasa aliwahi kusema kabla hajajiuzuru, TUMECHELEWA SANA, AKIHARAKISHA KUJENGA SHULE ZA KATA. Zilizoleta tija kubwa kwa watoto wengi kusoma Elimu ya sekondari, japo Elimu yenyewe wanasoma vitu vingi! lakini hawezi kuwatuma hata kufanya kazi nchi yoyote😭😭. mhhh!
sasa ndio TUMECHELEWA zaidi mhhhhh! sijui tumefikaje hapa? !
Wacha niishie hapa tu.
2026-09-18 07:13:21