jana nimetongoza mtoto wa m2 akaniamby ana m2 wake ila nikamuamby mm nisha kupenda ss akanikubali akaniamby nashida na 30k duuuh nikaacha ndala leo2 ivi je siku zijazo
2026-09-12 05:58:19
7
Hosea Y Clement :
kumbe napendwa😂😂😂😂
2026-09-11 21:50:03
7
🌿ms jolijo 🍀bazazi🍁🤘 :
kwelii aiseee
2026-09-11 19:45:36
6
rodrickrodrigos :
Kumbe sipendwii
2026-09-12 17:05:16
2
HOTi boy🦅 :
we kumbe
2026-09-11 20:44:03
5
nizigiyimanavital :
Hilo nikweli kabisa
2026-09-12 09:22:34
1
Zeyna Hatibu :
💖💖💖 kwer dada wakwaza mm
2026-09-11 19:38:18
7
pretty jewel🥰❤️💋🦋🔐 :
Ila kweli huyo ni mimi kabisa 😂😂
2026-09-12 09:16:00
3
device boy :
kweli dada
2026-09-12 06:32:05
2
heison :
tuuweni
2026-09-11 22:31:17
2
Alvick Teddy :
na kuna wale wa peer pressure juu ya wenzao
2026-09-12 10:20:04
1
yuxni og :
duuh bc kumbe hawanitaki maana sijawahi pata mtu ambae haniombi pesa kilasiku walikua wananambia hawajala
2026-09-12 09:56:34
3
Mr armani :
Merci
2026-09-11 20:12:11
2
👑 MANY :
mimi ndo mchoraji sasa
2026-09-12 00:57:11
2
user6554661956624 :
daah unampenda ilayy hukupendi maumivu yake achatu yawe mapenzi
2026-09-12 13:50:11
2
Guzuu Don :
pia mwanamke anaye kupa pesa hakupendi.😊
2026-09-12 13:36:15
1
Elie semu 🇨🇩🇨🇩🇨🇩 :
aaaaaaah manake mie habanipendi daaaah 😳😳😳
2026-09-12 13:59:37
1
zkhan05 :
Asnt kw ushauri ss ngoja nitafute sabab nitoke tu 🏃🏃🏃
2026-09-12 15:49:00
1
To see more videos from user @chidu.facts, please go to the Tikwm
homepage.