@luckyap95: #fypage #fyp

LUCKY 🍀
LUCKY 🍀
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 11 September 2026 18:42:43 GMT
462348
30775
1211
347

Music

Download

Comments

dorcasmutheu1
Dorcas mutheu :
Utapona Kajala God loves u so much
2026-09-20 13:55:43
1
swaumomary6
swaum :
Kwann analilia nn huyu ni mapenzii au kuna kingine
2026-09-11 19:42:16
97
queensihfa5
A 🦋💍🧕🏻🦋 :
Will pray for you, Mama. Just be strong you’ll be okay. Keep praying. We love you so much and we still need you don’t lose hope God with you we still need you more more more more okay baby girl. Just be strong for yourself and take medication.🥹🥹🥹 be strong for your daughter she have only
2026-09-19 23:24:11
1
petty.lee7
it's- melalin🍓🥰 :
usitaman maisha ya mtu ndo hii sasaaa🥺
2026-09-11 20:12:56
290
rehemarafael436
R£¥ :
zima hisia washa akili endelea na maisha
2026-09-12 20:12:24
213
rachelondieki
Rachel Ondieki :
never give up momy God listen your tease😄😄
2026-09-20 19:37:02
0
user9010568216856
#Azorai joe... :
quick recovery in Jesus might name 🙏🙏🙏
2026-09-20 07:29:42
0
mc.nana51
mc nana🥰 :
l play for u kajala
2026-09-16 18:38:28
0
msboraaa
✨Soso boraa🦁 :
kajala ako na moyo nzuri ndoman anaumizwa sanaa
2026-09-11 19:45:29
75
reenyrich7
Golden Heart❤️ :
Hivi unajua mama Paula wewe ni mzuri na unathamani sana kwa Mungu embu Kaa siku Moja tu Moja tu chumbani kwako mwite Mungu mweke kikao mwambie yote yote yanayokuumiza Lia mbele zake ukiamini Yuko hapo uone atakavo kujibu atakupa njia tu mana Mungu ni wa rehema na huo Mzigo ulionao moyoni ataubeba utajisikia amani sana moyoni na utaona umepata yote amini kabisa
2026-09-12 07:58:06
153
missbrown82
Mishi Hamisi :
God bless you
2026-09-21 10:24:07
0
teee123567
Naj :
Mapenzi lazima kwani si tulia na mjukuu tu
2026-09-11 19:01:45
72
stellamaries.davi
Team Adasah. :
it is well dear 😭
2026-09-21 08:59:27
0
minaabinjuma2
The last lucky girl♓ :
Usidate na mmakonde ukampendaa🥺🥺 Mi Niko nakufa kidogo kidogoo@
2026-09-12 22:04:43
16
ms..tinah1
ms.tinah .. 🍫 :
Pole kajala
2026-09-11 19:22:41
1
tarimo9119006309138
🇨🇳🇰🇪Lee🎊🍫 :
namm mniombee nisha Google jinsi yaku mov on lakin wapi
2026-09-12 07:29:04
12
ivan.boy359
via baby :
namuelewa sana kajala
2026-09-14 12:43:32
10
raiyan15299
Raiyan :
Pol ant mung yup pamoja naw
2026-09-15 09:06:00
6
missmars451
missmars🥰 :
siyo kila choz ni mapenz jaman ooh..!
2026-09-15 12:33:58
7
juliet.rojas7
Juliet Rojas :
Dada Kajala lets me tell you my testimony binti yangu aliugwa macho toka ikiwa na 3 maths nilitembea Sana kwa hao watu wote unao wafikiria ckupata mafanikio nikaamwa kuachana nae alisumbuka kweli ilifika kipindi akiaanza kupikicha macho Mimi natoka Karibu yake nakuenda kujificha nikilia ilipo fika siku ya bwana akiwa na 15 yrs anaelekea kufanya mtihani mtt alikuja akaniambia mama sioni wewe sikuombewa na mtu nilijifungia chumbani kwangu kwakweli nilichoongea na mungu siku hiyo sikumbuki kilichofata baada ya siku chache ni miujiza na mpaka sasa mtt alipona Dada who are you mungu asikusikilize ni yeye mwenyewe ameahidi ukimwita ataitika Dada kama hauna imani nakupa lift kwenye imani yangu nipe namba zako tuombe pamoja naamini Katik a bwana
2026-09-17 20:14:13
5
ester.tullo
Ester Tullo :
kajala wewe okoka tu hayo yote yataisha hakuna mwanadamu anaweza kukupa amani na furaha ni Mungu peke yake
2026-09-14 04:01:39
22
cathy_vi12
Cathy_vi♊ :
nakuelewa sana🥹😭🙏
2026-09-11 19:23:19
32
gall.chase
Gall chase :
Harmonize,,Harmonize,,Harmonize nakuit mar 3
2026-09-11 20:36:34
58
user8472020274430
pianel fashiontz :
Yesu ni Jibu la mambo yotee.ana furaha ya milele,mpe maisha yako atakupa kumbatio,
2026-09-14 20:47:25
8
2002ity
Gianna Dior ♥️ :
mpende mjukuu wako tu dear mapenzi yatakuua
2026-09-11 21:30:19
8
To see more videos from user @luckyap95, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About