@taimediatz: #HABARI Ethiopia leo Septemba 11 imeingia rasmi katika mwaka mpya 2019, ikiadhimisha Enkutatash, wakati sehemu kubwa ya dunia ikiwa katika mwaka 2026. Ethiopia hutumia kalenda yake ya kale yenye tofauti ya miaka saba hadi minane na kalenda ya Gregory. Kalenda hiyo ina miezi 13, ambapo 12 ina siku 30 kila mmoja na mwezi wa 13 ukiwa na siku tano au sita. Maadhimisho ya Enkutatash huashiria pia kumalizika kwa msimu wa mvua, huku familia zikikusanyika kwa ajili ya kula, kuimba na kutakiana heri ya mwaka mpya. ✍🏿 @mariamshabanitz #taimediatv #taimediatz

taimediatz
taimediatz
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 11 September 2026 18:48:43 GMT
22329
495
64
133

Music

Download

Comments

glorymsele659
Glorias 💫gorya :
ukisikia time travelling ndo hii sasa
2026-09-11 20:33:52
0
suzenymwafongo
suzenymwafongo :
basi mimi nikiwa Ethiopia nina miaka 18 saiv[Tears of joy]
2026-09-11 20:00:53
11
user9124327903054
user9124327903054 :
kwhy bado Niko from two☺️😂
2026-09-11 19:19:50
3
bardden.yich
Angel Style Hub🔥 :
What world do they leave 😅
2026-09-11 21:03:55
2
officialdravixy
Дейвид :
unajua nachek kwanini😅
2026-09-11 19:08:13
4
lateefah_44
L a t e e f a h 𐙚 :
Ethiopia mm Nina miaka 16 😂
2026-09-11 20:32:41
3
neyllah05
Neyllah❤️‍🩹💙 :
wanajua sasa kama hata kuna Iphone 18 imeshatoka kweli🙆‍♀️
2026-09-11 19:57:56
4
teevirgo22
♍ virgo Queen 💫🍒 :
Ethiopia sio Dunia hamjui kwani😳
2026-09-11 20:29:38
2
simaofeysalgmail
Esmail Feysali# :
Tatizo calendar wanayo tumia
2026-09-11 19:57:30
2
sallyian53
sally :
tupo mwisho wa dunia hadi tunachanganyana sasa nini hiki
2026-09-11 19:40:39
5
dee856953
Dee 😊 :
Kumbe huku tz mie ni mzee 😁😁😁ethiopia nakuja huko niwe mdogo
2026-09-11 22:22:01
0
aden.vales
Aden Vales 🌊 :
Niende zangu Ethiopia miaka ikapungue 💯💯💯🤣
2026-09-11 21:07:37
1
jline640
Jline 🥥🍒 :
Kwan wanahesabuje miaka mpk wako nyuma hvy kwahiyo sis tupo mbele miaka 7 duuh
2026-09-11 20:26:27
0
lioness25431
Lioness🐾254 :
2026-09-11 18:57:21
1
samy_henna_design
Samy ✨🌸 :
kwa haya ninayopitia saiv ngoja niende ethiopia nikasahihishe upya ili ikifika 2026 yasiwe kama haya.....💔💔❤️‍🩹😂😂😂😂
2026-09-11 20:59:11
1
davies_autfit1
Davies_outfit 🔥 :
nikienda niko 4m one nina miaka 14😁
2026-09-11 22:14:34
0
user8005853063097
Zuisa😍💯og :
siamini
2026-09-11 22:12:50
0
kang.joing7
kang joing :
nikajuaga niuwongo kumbe kweli nwan Sasa huko nfoninabid niksish ili nilekebi she nilipo kosea mwanzo
2026-09-11 22:27:09
0
totolapwani23
🌴𝗧𝗼𝘁𝗼 𝗹𝗮 𝗽𝘄𝗮𝗻𝗶🦋 :
mhhhh natamani ningekua huku juu huu mwaka nilikua kwa mamangu nadeka sai mwarabu yuwataka niuaa n kazi zkee😂😂😂😂😂
2026-09-11 22:04:09
0
user9009372814273
it's Lenlissa✨️🥰 :
atahvyo karenda waliketa waoo
2026-09-11 21:55:59
1
user9166765742948
my love ❣️ :
nahamia huko sitaki kuitwa mshangazi bongo😁😁😁🤣
2026-09-11 22:21:35
0
blondie_24
February queen🦋❤💫 :
niende huku nisikutane na watu nliokutana nao kuanzia 2020 mpaka leo😏
2026-09-11 22:05:15
0
priscajacob4
prisca jacob :
ethiopia nahs nipo darasa la sita akati sahv nina miaka 2 mtaani nishamaliza na fom four ila duh,,
2026-09-11 22:05:32
0
user3019552600075
Annie 💫💫 :
mmi Ethiopia nina miaka 12 😂😂
2026-09-11 22:37:06
0
elizabeth.julias1
Elizabeth Julias :
eh
2026-09-11 19:06:39
0
To see more videos from user @taimediatz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About