Friends please take her out of the country either...She needs a break😭😭😭
2026-09-12 15:55:14
1
salkham😘 :
nilichogundua unawez kuwa na pesa na usiwe na furaha 🥹
2026-09-11 20:09:06
270
lexie :
me na kajala same WhatsApp group😂
2026-09-12 01:48:52
38
kabasoviolet :
Okay real love hurts 🤕💔😭😭🫂
2026-09-12 18:15:13
0
Reyna 💝💜 :
pole ma mgwan
2026-09-12 18:14:45
0
celly D :
kajala kanifanya nadondokwa na machozi i don't know why
2026-09-12 13:46:33
0
Zayanna :
RULE NO 1...Kua Na mismamo yako
RULE NO 2.....Know your worth
RULE NO 3...ask yourself...is it or he worth it?
RULE NO 4...you should always come first, I mean love yourself ,value yourself
RULE NO 5....Never get back with your ex
etc etc etc
2026-09-12 03:55:44
19
sporah kivale :
mimi nilivyo achwa nilifurahi jmn au na matatizo ya akili
2026-09-12 09:44:31
45
The Goddess 🦋💖 :
it's high time u ladies give Kajala a break🥺
2026-09-12 01:24:54
0
Unique babe :
yanayomliza ni mapenzi haya haya au kuna kingine wenzangu😂😂😂
2026-09-12 11:19:27
17
Nashy king fashion :
ukiamua kurud rudi. pambania penzi lako madam.🥰
2026-09-11 19:33:54
35
💸ARUNA BDI💸 :
ila mepenz nikutesa kwa zam
2026-09-12 21:48:17
1
~Bi__mfupi💦🌸🖤✨ :
Mapenzi adui mkubwa anaezoofisha nafsi na mwili💔
2026-09-12 07:42:47
13
Merry Moses :
duuuh pole
2026-09-11 20:06:59
0
Loreen Ayub :
mm niliteswa na mapenzi nkaamua kuchukua bwana ya wenyewe nkue second wife
2026-09-12 10:32:54
6
Fetty_Manyota :
kwani wameachanatena
2026-09-12 09:55:17
5
V :
kwenye hii Dunia kitu Cha msingi ni furaha na amani ya moyo unaweza ukawa na pesa lakn kama moyo huna furaha na amani ni sawa na Bure t et pole sana kajala nakuelewa mama angu
2026-09-12 07:36:33
12
rey🫂 :
mbon anatesek kama mm😟
2026-09-12 00:22:34
5
acha tuone :
nyie kunawatu unaweza kuona wanafuraha kumbe moyoni wamebeba mengi sana daah! naanza kumuelewa kajala
2026-09-12 14:57:28
2
Prof. Warren🏆 :
kilio Cha mshangazi ni furaha yetu😂
2026-09-12 18:51:37
0
MANKA :
NIMEKUJA KUJUA USIPOSALI SHETANI ANANGUVU SANA KWENYE MAHUSIANO ASEE...SHETAN HAPENDI KUONA PENZI LENYE FUTURE....SO SAD
2026-09-12 10:25:38
3
lucy🦋🦋 :
Kila mtu na majanga yake
2026-09-12 17:47:07
1
saina shira 400 :
kumbe pesa si furaha🥹
2026-09-12 08:54:14
1
To see more videos from user @prince_tz00, please go to the Tikwm
homepage.