@maturisi2: Hii nchi ukifikilia sana unaweza ukajiuwa kabisa hapo ukienda hospital hakuna madawa lakini kuna vichepuko vya kina mombo wa mayadi kama haya#kenyantiktok🇰🇪 #tanzaniantiktok🇹🇿
uchonganishi usipende kuchunguza masha ya watu tafuta pesa
2026-09-12 03:23:26
157
~its_nokem 🐐 :
kwan Qiyama lini tukapumzike
2026-09-12 06:20:59
233
Baraka Tugu :
tumsifu yesu krito
2026-09-23 09:36:11
32
DALALI BAUCHA ILALA TZ :
mwisho wa siku tunaviacha duniani kwa mungu sijui tutajibu nini.
2026-09-12 00:28:08
331
Albino Mweusi 🐐 :
Kumbe Mapenzi yanalipa 🤣🤣 Nitafutieni Dada la kitajiri linipe maisha
2026-09-12 02:34:40
165
Juma :
roho mbaya hiyo kwahy tufanyaje sisi
2026-09-11 22:07:27
45
TOY🧸 :
ata awe nani avituhusu
2026-09-13 07:30:29
27
Lj Mwambar :
acha ale maisha ,baba ake ana kazi nzuri.
2026-09-12 08:32:30
57
💔💔💘💘 :
kumbe tanganyika kuna pesa nyingi hivi
2026-09-11 20:29:58
58
Sponsor HD :
:Jaman naomba mkiona mtu anauza kitanda na godoro, tv,jiko la ges na kafriji kadogokadogo.. msinunue tafadhari ni mweny nyumba anauza vitu vyangu. Tuwe na umoja jaman
2026-09-24 13:09:34
18
Sadam Issa :
anaitwa nani me nimtongoze
2026-09-11 22:13:35
35
Mtumba_Becca :
Waache watumie bhana, unadhani hizo Kodi tunaweza kutumia wote, wachache lazma wale na ndio hao wachache 😁😁😁
2026-09-12 06:01:32
30
Director Mohaa :
Sasa unaingiliaje mambo ya familia 😂😂
2026-09-12 04:26:24
7
maridadilukwaro :
Ni jambo la muda tu
2026-09-11 20:25:44
17
ngoshamusic2 :
tutafte pesa zetu kwa halali MUNGU yupo jmn
2026-09-12 04:36:37
14
irene martinea :
Ndio maana deni linazidi kuongezeka Tanzania Mungu tusaidiee
2026-09-14 06:10:12
6
Mama😇 E😍M😍J🫂🤲🏻 :
atajua mwenyewe
2026-09-12 13:56:39
5
💦MOMO❤️😎 :
wachana na kumjua mombo mmi boyfriend wang hata zawad ya 10k hajawahi[Big LOL][Big LOL]
2026-09-12 08:47:51
8
Www.Daudi msangi.390 .Arusha . :
mombo ninan
2026-09-11 20:04:37
19
vee :
alafu mwisho wa siku anaachwaa🙂
2026-09-12 14:10:38
6
Cugalivinus Archard :
Who is Mombo!?
2026-09-11 20:53:36
122
Fernandez :
HIZO GARI MBILI ZA MWANZO BEI YAKE IKILETWA UKU MKOANI KWETU ZINAONDOA TATIZO LA UMEME KUKATIKA KATIKA OVYO
2026-09-15 08:10:36
7
Ramaryther khan :
tusio mjua mombo tukae kushoto maan hiki kikao tunaoneka tumekidandia
2026-09-12 14:11:04
5
asiah.17 :
Wata achana tuuuuu
2026-09-12 03:23:24
8
To see more videos from user @maturisi2, please go to the Tikwm
homepage.