Hata upinge vipi kwenye haki ukweli utabaki kuwa ukweli , Huyu binti amelelewa mno, Mungu akuzidishie we mtoto
2026-09-12 05:34:27
113
cute mother :
Allah akujalie na moyo huohuo chidada wanguu [Starry hearts][Starry hearts][Starry hearts][Starry hearts][Starry hearts]
2026-09-12 13:41:22
0
twins 🙌❤️💯 :
nasibu yupo wap.
2026-09-12 06:08:50
4
Theodosia Kitinya :
wa wema yuko wapi
2026-09-12 06:10:44
3
miss B daniel :
kwani huko nyuma mbona nimemuona abigael🤣🤣nae ni mtoto wa zuchu
2026-09-12 06:13:34
21
shiku liz :
wetu Ako wapi our NJ
2026-09-12 08:48:18
5
Rose Kilimba :
🥹Hadi vichozi vya Furaha vimenitoka Huwa napenda namna hii🥰
2026-09-12 09:58:47
4
Angle456 :
@🫶🫶🫶
2026-09-12 06:15:10
0
Bevalyne Cheroticg :
wetu hapendi showoff
2026-09-12 08:43:12
2
Liz lorr :
nillan is Soo respectful
2026-09-12 07:51:44
4
pink Aura🥰🥰💞💞 :
Kwan uyoo mwengine ninani
2026-09-11 20:05:21
8
eugenie Kathaliko :
mungu hakubari nakupe maicha marefu🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰
2026-09-11 19:50:24
31
Abbas Kambanda :
MBONA SIMUONI MTOTO WA HAMISA?????????
2026-09-12 13:20:33
1
Anita :
Nasibu junior wetu ako wapi mtoto wetu mkenya 😳😳😳
2026-09-12 07:47:29
1
Baby xhaa🥰 :
zuchu unamoyo wapekee mungu akuendeleze nao uouo amin
2026-09-12 11:56:14
1
Zalihina Abed :
🥰🥰
2026-09-12 09:49:21
1
user9351591222800 :
alooooooo nakupenda sawa mrembo wangu zuchu mungu awaepushe na husda za wanadam
2026-09-12 05:06:02
2
Mwende Ann :
nasibu junior Yuko wapi?¿?
2026-09-12 03:15:59
30
Agnes John :
namuona tiffer sijamuona Zari
2026-09-12 10:51:54
1
user4614853963379 :
mambozuchu🌹👋
2026-09-12 04:48:52
1
Diana Msafiri Njeza :
afu kuna watu hawapendi watoto wa waume zao
2026-09-12 07:45:28
1
maty suley❤️💕 :
hata hana ubaguzi jmn hongera da zuchuuuuuu
2026-09-12 10:45:02
1
mm :
Nakupenda sana zuchu wanawake kama ww nikidogo sana mungu akulinde sana
2026-09-11 22:11:04
4
fatnamsanya :
nakupenda bure dada ngu una moyo safi wallah nakupenda Allah akupe maisha marefu wewe na Binti Yako inshallah I hope mwanao atakuja kuwa kama wewe like a mother and daughter
2026-09-12 02:23:06
4
To see more videos from user @sandra_zuu, please go to the Tikwm
homepage.