@makacityhoodtv: "UKITAKA UGOMBANE NA MWANAMKE TUMIA HELA YAKE YA VIKOBA, HELA YANGU YETU ILA YAKE NI YAKE" Video Credit 📹 Usisahau Kutu-Follow @makacityhood_tv ---------------------------------------------------------- #viral #explore #comedy #memes #Funny
MakacityHoodTv
Region: TZ
Friday 11 September 2026 19:22:27 GMT
Music
Download
Comments
yuzo zombie 🧟♀️ :
kuowaa mm sijuwi yaaan maana [Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-09-14 11:33:53
0
Benny electronic :
yani sizani kama ntaoa
2026-09-12 04:46:52
46
RAMSO Mtanzania🇹🇿🇹🇿 :
Wabinafsi sana
2026-09-12 07:38:37
22
Official Minnah 💕 :
at me sikubali yan pesa yangu uitumie bila kuamua mm hapan
2026-09-12 12:55:52
14
kidokido808 :
nimepata 7sababu nyingine ya kuto kuoa
2026-09-12 11:58:26
17
nako :
haya yapo kweli asee. Yasikie tuu
2026-09-12 05:16:50
12
tinstive :
mi naona kulipa ada sio kosa kosa kutumia bila kumuuliza huo ni uonevu uliza aridhie bac tumia lakn unajiamulia tu hapana
2026-09-12 10:33:28
7
evvy64 :
umekosea bwana ungemuacha achkue mwenyewe hela yake ndio akupe
2026-09-12 07:33:18
8
Lux Mund :
sasa unataka mwanamke aliyeko kwenye ndoa asomeshe watoto😅, siyo rahisi rudisha tu pesa yake kila mtu abebe msalaba wake
2026-09-13 18:43:36
0
CPM :
Mwanaume kakosea hapo
Unachukuaje kitu cha mkeo bila ruhusa yake?
2026-09-12 16:35:36
4
Daniel mabea :
50/50 😁😁😁😁😁
2026-09-12 05:22:11
1
Richie543090 :
iih kitu itanifanya nashindwa kufanya maamuzi kwakweli [Laugh approved][Laugh approved]
2026-09-12 12:41:59
0
Toncsmation Enginearing Co Ltd :
mimi sijawahi kumuuliza mwenza wangu kuhusu ada
2026-09-12 05:52:40
5
chalamila yohana :
asa hapo unakazi gani jamn as man kusaidian ni nin
2026-09-12 04:24:41
5
mziwanda :
ila shemeji nae kajiamulia mambo sanaaa
2026-09-12 10:17:11
1
TRIPLE L :
mimi nilichukuaga hela tulichangia wote jina moja nilimpeleka hospitali mdogo wake wa tumbo moja alitoka kijijini aje kutibiwa, aiseee alidai talaka
2026-09-12 14:04:02
2
Sagrada Nanowa :
Mimi yangu unanipaaa😒
2026-09-12 12:15:30
1
Machuzi 🇹🇿 :
WENGI WAO WACHOYO SN
2026-09-14 09:34:18
0
aysherhussein :
kwann atumie hela isiyo yake
2026-09-14 13:21:50
0
mtonga hasheem :
mm amenunua maji tu 5500 na amenidai
2026-09-14 14:02:24
0
Elibariki Laurence :
iko ivyoo
2026-09-14 16:43:22
0
Lorine :
angeleta nitoe mwenyewe kwann atoe bila ridhaa yang
2026-09-14 17:59:16
0
Irene Massawe :
wee unachuaje ela yangu bila ruusa yangu.
2026-09-14 08:53:56
0
To see more videos from user @makacityhoodtv, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.