@prince_tz00: #harmonize #kondegang

HARMONIZE_🌍ZONE🇹🇿
HARMONIZE_🌍ZONE🇹🇿
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 11 September 2026 19:31:16 GMT
381069
48700
374
1412

Music

Download

Comments

ochuzzy_45
O'C'H'U'Z'Z'¥💲📴 :
album nzima hii ndio nyimbo yangu pendwa mzee konde🙌🏾🙌🏾🫡🫡
2026-09-12 05:33:18
147
rv.studio.tz
RV STUDIO TZ :
wowow my brother from another mother nice work bro 👏
2026-09-15 12:22:04
1
user83845673479366
shizoo3 :
duh nimeweka leo hiyo ngoma kwenye bufa langu nililonunua zanzibar million5 na laki8 majirani wamebomokewa na majumba yao yote
2026-09-12 09:21:11
25
patrickleonardyg
Patrick Leonard YG :
inaitwaje hii nyimbo
2026-09-11 20:12:55
46
dammy_2546
ᡕᠵ᠊ᡃ⸝່ࠡࠣ᠊᠆ࠣ࠘ᡁࠣ࠘᠊᠊ࠢ 𝓓𝓪𝓶𝓶𝔂 :
Natafuta mdada mwenye mimba twende clinic ili nipate net, mbu wataniua jamani 🥺
2026-09-12 13:41:27
8
ally_maganga
@ally_maganga :
sema unajuwa sana mzee baba
2026-09-11 19:51:46
24
kabongo_70
Nicholas Kabongo💫 :
hii ngoma sikiliza ukiwa umetulia umetoka job umeoga upo sebuleni ndani ya pensi pembeni maji baridi sauti ipo chini kdgo alafu unazngatia maneno. oyaaaaaaaaaaa enough
2026-09-13 19:06:01
19
user754341140625
kevoo jr :
https://vt.tiktok.com/ZSqmjtj4e/
2026-09-12 12:43:00
1
joelkarube2
Joel Karube :
daaaah uyo jamaa noma sana apa nmejikuta nayumba tu
2026-09-12 06:37:46
7
dvoicewabeiyadzulo
mooh@003 :
modo..eiiii the big khonde...kali saana
2026-09-12 13:32:12
1
immaliano.jr2
The hand of Golden 🙌🙌 :
Album nzima mbofuu aisee ila ile ya marioo ilikuwa na ngoma kali kibao😎
2026-09-12 10:27:45
10
sillahnagwa420
Sillah Nagwa :
Mwamba unajua kuimba Walah
2026-09-14 18:37:14
3
zoney_mj
zoney_Mj :
ilaawe broo cijawai ona mzikiwako umeenyooka bwana 🥰🥰
2026-09-20 07:58:29
3
abelimutayongwa
posébahati :
uyu jama ni 🔥🔥🔥🔥
2026-09-11 21:39:37
5
user0766728496
Official Prince :
Akili kubwa nidhamu na moyo wa kujituma kila mda unajua xana kaka nakubali
2026-09-12 14:36:41
3
victoire.malikido
VICK LE BONBONS 🍬 :
walaï grammy ni yako konde mpaka kwetu Congo tuna ku sapoti 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
2026-09-11 20:20:23
4
ema.mkary.boy
Yong money 🤑 Tz :
nakubaliana nawe kaka konde boy lengo ni kupata Grramy
2026-09-11 20:39:42
3
clovarashionleking2
clovarad'or :
nami piya namu love my sana
2026-09-12 13:53:28
1
45wab0ng
老板 :
Mongoose Pekee Alipendalo kajala💯 Konde Gang For Everybody
2026-09-12 12:00:52
2
georgeplksama
@georgeplksama🔞👊🇨🇩 :
Naku heshimu konde wewe mkali sana✊
2026-09-12 18:45:09
2
dyegula.brand.tz
Dyegula Brand Tz :
kaka hiyo sio kurusha walioko jera TU hiyo ni kuwalusha mpaka pepon kaka we ni zaid ya jini kimuziki
2026-10-03 21:14:13
2
h.boy021
H.boy💪 :
kak na kukubali san unajua kuimba
2026-09-22 17:46:49
1
user2555774442006
brack vampire :
Una veise Kali Kama unatungiwa na Ai 😊.
2026-09-19 17:25:22
1
wiliamkulwa88
khizz brand 🤘🤘🤘🤘🤘 :
all album ila hii umeua konde
2026-09-12 13:29:26
1
erneststikers
Ernest🧢🧢🧢🧢 :
nice konde gang
2026-09-11 19:33:40
1
To see more videos from user @prince_tz00, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About