bro shukran maana niliteseka sana toka walivyo leta hii google masseg sikuweza kubadilisha kila njia ilikua inashindika atimae leo nimeweza simple tu 🙏🙏
2026-09-29 22:19:52
1
officialdalyah2 :
asante Sana 🥰
2026-09-11 22:51:38
0
lizverspyrex :
je simu sina ya samsung A o6 itakubali
2026-10-05 06:21:56
0
Sarah mwita❤️💗 :
mbna watsap zinaonekana
2026-09-13 20:20:59
0
🦂 𝕯𝖆𝖗𝖐𝖔𝖓 🖤 :
mimi nataka sm yangu nikifuta sms kuna sehemu zina jihifazi na zina futika baada ya siku 30 sasa sijui zina hifazia wapi nimetafuta sana ila sijapaona kama unajua nijuze please
2026-09-12 16:35:08
0
InspektaKicheko😂 :
salut kwako itabidi nikubali kushindwa😭😭😭
2026-09-11 20:10:30
1
Mary new❤💮 :
clokiiii nimeweza🥰
2026-09-13 11:06:33
0
Laulynova✨ :
kwenye Sony hakuna
2026-09-13 06:49:47
0
mama yusrah :
kwann nimekwambia upige uko bz huku
2026-10-23 15:34:49
0
kaizah✈️🚫 :
hii nimeipenda bro
2026-09-12 22:47:18
0
🌷mercy 🌷 :
nataka unielkeze jinsi ya kudhibiti cm isutume message moja mara tatu
2026-09-12 22:17:29
0
Fatuma Mussa :
kwenye samsang
2026-09-12 13:20:25
0
To see more videos from user @teachermedia0, please go to the Tikwm
homepage.