Ww ulikua na 70 au 90 me mbona na 70 ilasipo buju hiv🥹🙄
2026-09-12 06:49:07
75
HEST KITCHEN :
Mimi kilo 70 Ndo Ndoto zangu sasa😹😹😹😹
2026-09-12 05:29:38
60
💫🌟babynicky85🌟💫 :
Nimechoka na dawa za tikitok maana ninamakopo ya dawa kama uchafu sijapungua hata
2026-09-11 23:19:44
37
BLAQie👑🖇️ :
io sio 70 jamn itakua typing error 🙌🙌🙌
2026-09-12 10:50:47
6
kipenzi cha wa🇹🇿🇰🇪🇺🇬🇨🇩 :
umetumia nin maana mi nina 84 nipo kama puto nachoka mim🤣🤣🥺😢
2026-09-12 19:04:46
4
NUNA OUTFIT STORE :
Mimi nakilo 69 ila namwili kama uu wako wa 46 mbona sielewi
2026-09-11 22:58:25
11
tock . y🦋 :
nina kilo 57 ila najiona mzee vipi😌
2026-09-12 05:59:59
6
its_viraah❤️🔐 :
daah nmechok jmn niache nlie🥲🥲🥲
2026-09-11 22:48:57
3
officiallyrania2 :
M mwenyw nin 70 natak nifike 63 😂
2026-09-13 06:49:51
1
~𝕯𝖆 𝖍𝖚𝖚🍎🎀 :
Kuna wengine 70kg ndo kunenepa siye 70 ndo tumekondaa😂haya wenye kilo 90 tunakaa wapi😂
2026-09-12 05:34:18
5
Sia :
Kuna mm na kilo 90 lkn sionekani shangazi
2026-09-13 23:15:32
2
Davee juice &Cassava point :
naomba unisaidie
2026-09-12 18:50:08
0
🦋It’s~skyline💫 :
Habari nimechoka kuwa mnene sn nina kilo 95 na pia nimechoka nimetumia kila mbinu jmn naomba uniambie plz dada yangu nimekuwa mshangazi mie 🥺
2026-09-11 23:28:31
1
KIM 🌸🔐❤️ :
Niunge kweny group kama lipo
2026-09-12 14:50:50
0
lorah🍂 :
Tunajiungaj na wew bby 🥹 am tired 😒
2026-09-12 08:51:41
0
FAHIMA:♥️ :
Nataka kupunguza mwili ila tako langu liwepo ina wezekana 🥺
2026-09-12 16:01:58
1
sarvisfarvie74 :
u.tumia nn
2026-09-16 10:02:52
0
💐25 January ♒ :
diet yako umetumia mda gani mpakq kupata matokeo mana mm nilianza mwez wa 8 ila nikawa naumwa nmestop kidogo atleast kuanzia wiki ijayo naweza kuanza tena
2026-09-12 04:44:52
1
Irene kafem :
naomb nipungue asee nipo hap kg 99
2026-09-12 14:27:09
1
Gmomo😋🥰❤️ :
Kuna mimi ninae taka kuwa mnene jamn
2026-09-12 13:43:36
1
Shop with Eneka🦋💖🛍️ :
Nna 45 nazitafuta izo 70😭
2026-09-13 22:35:42
1
Vilatha-tz :
mabega ni kitu cha mwisho kupungua😂😂 yoooohhh
2026-09-12 11:36:37
0
lizzyelly :
jmn kwan nyie mnawezaje
2026-09-14 21:30:02
1
Officialmanka💜🔐 :
afu kuna mm nina 87 na swazi wala nn😂😂
2026-09-20 19:44:13
1
x828tdy3fy3oyfoehcowhco :
naomba unisaidie plzz
2026-09-12 18:36:48
1
To see more videos from user @sweetvevah3, please go to the Tikwm
homepage.