Irene yuko sahihi kabisa 😭hata huku kuendeshwa na mapenzi ovyo ni ushetani kabisaaa sali omba sana
2026-09-11 21:42:43
19
Katorosweetheart :
Mwinjaku anamkoseaga sana huyu dada sana yaaaaaan anamuattack mno
2026-09-12 05:11:12
5
Nails by Saby💅 :
na mm nipeleken huko mliman
2026-09-11 21:44:26
9
Reeni ira😍 :
Jameni Irene anongea ukweli
2026-09-11 21:58:52
11
YvanahBlack :
Now this are the kind of friends I need .
2026-09-12 06:57:34
1
doreen muhony :
pole kajala ila amani ya moyo wako inaanza na wewe na wanachokushauri wenzio ni sahihi GOD IS ABLE
2026-09-12 04:43:38
10
careen james :
Irene amemwambiaa ukwelii salii mamaa kazanaa sanaa mamaa
2026-09-11 21:33:14
12
ciza celenie :
najikuta nalia jamani roho yangu
2026-09-12 07:09:35
1
Tegemea Edwin :
utaishi kwa neema ya yesu
2026-09-11 21:35:46
6
The lady Mwangonela,❤️💫 :
Mam Mchungaji anamaono ❤️
2026-09-12 02:39:18
7
mamakejoseph254. :
marmite ndio answer 🙏🙏🥰🥰🥰
2026-09-11 22:40:14
1
qadyaglamour :
ila kajala anatia huruma sana😩
2026-09-11 21:24:02
6
🌹VelvetAura 👑✨ :
ambao mpo mwanza tutafutane twende mlimani
2026-09-12 07:17:29
1
john massinga :
Amen and amen
2026-09-11 22:15:16
2
Agness Nkugwe :
Irene umeongea vzr
2026-09-11 22:25:44
5
nicolemon36 :
si maombi tu anamuhitaji Yesu awe Bwana na mwokozi wake. Mungu akusaidie binti hizo roho zinazotaka kuchukua maisha yako zishindwe kwa Jina la Yesu. Damu ya Yesu ikufunikiwe wewe, familia na rafiki zako. Be serious with God baby girl
2026-09-12 07:01:44
3
nika🌹❤️💞 :
tulio itikia Ameen tujuane👇
2026-09-12 07:33:02
1
Hadassabzak :
na wa penda sana wa dada
2026-09-12 01:19:23
3
Miss Rahe :
qeen lao ni mtumishi wa Mungu kweli amempa ujasiri sana kajala
2026-09-12 06:28:41
2
beatrice hosea :
Maombi ndio kila kitu
2026-09-12 06:29:04
1
ELIZABETH🥰 :
uko mliman niwp jaman twenden sote
2026-09-12 05:18:00
4
Gaudencia Madirisha :
dah huu ndo umoja sasa nimezidi kuwapeda
2026-09-12 01:23:31
3
To see more videos from user @__chichileee, please go to the Tikwm
homepage.