then you wake up hujui ulifika aje😂😂 ata ukavaa pajamas na ukafunga mlango
2026-09-12 06:55:37
2023
ƐŔÎĶ ŤĤƏ ĞŘƐÅŤ ✔❣ :
wachana na kukumbuka kwangu 😂omba nisikumbuke mtu wangu 😫😫😂😂😂
2026-09-12 08:17:34
1451
mskamande2 :
You and me same..mimi sipendi kuamka asubuhi kwa wenyewe nikifikiria vile nitafika kwangu🤣🤣🤣🤣
2026-09-12 13:17:58
654
muje.rloco :
I goraa homesick👉👈😌
2026-10-07 17:38:34
0
emmanuel_ephy :
kariandusi near Gilgil 😂😂
2026-09-12 07:21:02
526
chichi♡°°☆ :
mi naeza watusi hadi😅😅💔
2026-09-12 07:20:01
294
princess shee🦋 :
nikikumbuka mtu wangu ni hivo😂😂😂
2026-09-12 11:37:53
78
Knightgale :
Hata before nizime, niwaambie nadai kuishia like twice, ya tatu naenda tu bila hata bye. Nothing beats the feeling of sleeping in your own bed ukiwa maji ah!
2026-09-12 18:27:04
153
olivia ombuya :
mmi niliamka na kiatu moja with a broken leg but nilikua kwang
2026-09-12 10:32:08
120
Miss Fayvan ♥️🎱 :
me hata naeza book room niwaache mkipiga sherehe😂😂😂😂
2026-09-12 07:10:20
77
Shiro :
juu sielewi mbona mnilalishe Kwa floor Na Niko Na kwangu🤣
2026-09-12 13:47:43
22
effinSTJ :
bro is throwing primary GHC...Naskia tu kariandusi near gilgil..mara Abuja Nigeria
2026-09-13 11:55:10
1
Real_Fredy :
Ile sound ya mnipee 400 nirape Dante 😂😂
2026-09-12 04:48:53
9
QIN_💎🦋🌈 :
i thought niko abnormal huwa narauka ata 5am ndo nipotee kama wamelala bado
2026-09-14 06:43:28
5
Alexander :
Mimi nayo hutatusumbua tutakuacha uende😂
2026-09-12 11:16:15
9
cyn-brazil 💋 :
😂😂kumbe unajijua
2026-09-14 04:13:34
6
wambuianyango :
Mimi hutoroka bila mtu yeyote kujua😭😭and I know it’s not the best thing to do but nikiskia nazima lazima nikimbie kwa kitanda yangu
2026-09-14 07:39:00
6
scriptedme☠️ :
Kuna siku nilikuwa blacked out, tell me why nilienda then after Kufika nikalala hapo kwa shamba
2026-09-13 17:34:06
6
Riri💕 :
nitaamka hadi home mbio
2026-09-12 13:31:39
5
keicey🌸 :
nikumbuke Hb wangu😂😂😂😭😭😭...
2026-09-12 12:23:18
9
Draco2n2 :
Mii saa kumi nkirudii kuwambia asantii walinilipia fare ya kurudii mtaa
2026-09-13 13:44:48
5
Vin™ Fx📈 :
alafu ukumbuke huna simu🤣🤣
2026-09-12 10:37:50
17
Yuuichi :
mimi nayo kwangu lazima nirudi
2026-09-12 11:13:54
23
292H :
Kuna siku nilikuwa sherehe. sijui nilifika aje kwangu. Nikafunga mlango, nikapika, nikakula Na nikalala. Sijai elewa ilifanyika aje. nashangaa hadi Wa leo😹
2026-09-12 22:33:35
10
🖤 Jade Esq.🖤 :
niliwaambia I have a father.. tuko nakuru usiku nikahire mat mzima take me to my father 😂😂in Nairobi 😂..tulifika kwa babangu anyways. nikianza lemme talk to my dad isover
2026-09-12 20:17:04
65
To see more videos from user @official_finest_, please go to the Tikwm
homepage.