@prophetic.world4: Yoshua 1:9(Je si mm niliyekuamuruu uwe hodari na moyo wa ushujaa❗️??,Usifadhaike kwa kuwa Bwana,Mungu wako yuko pamoja nawe kila uendako❤️🙏…….#foryoupage❤️❤️ #goviral #makemefamous
@❤️faah: 🙈unaweza ukafumba na ukafumbua haijalishi mungu aw roho wa mungu siku zote yupo ndani yako namaanisha yupo ndani yako so usiogope kama uko na imani ya mungu basi imani yako yako ndio itakayo kuokowa mpedwa
2026-09-12 01:02:14
0
MIMA....🦋🦋 :
sawah nmekuelewa
2026-09-11 23:23:30
0
glory Edward :
Aminaa kipenz hatimae leo umesema na mimi mungu akubaliki sana🙏🙏🙏
2026-09-12 00:06:44
0
Triza_im :
Na kusinzia mtumishi
2026-09-11 21:52:50
1
mshua :
🙏🙏🙏
2026-09-11 23:26:46
1
To see more videos from user @prophetic.world4, please go to the Tikwm
homepage.