@one_vision_tv: Kuna muda maneno hayatoshi kuelezea kile moyo umebeba lakini matendo ya mwili yana eleza kwa kina sana ikiwemo machozi,furaha na kadhalika,kwa kajala walio wengi wana muona kama hana akili kumbe ni upendo na wengine wana tumia kama kibali kucheza na moyo wake,mpaka ana fikia kusema ni mtu asiye na furaha na kuchoka maisha haya yani amebeba mengi sana. #onevisiontv🇹🇿

ONE VISION TV
ONE VISION TV
Open In TikTok:
Region: EN
Friday 11 September 2026 23:28:59 GMT
53688
3055
116
33

Music

Download

Comments

fatmahmohammed538
🦋feutima 🦋 :
Pole San
2026-09-14 18:57:28
0
makaila.ma4
Makaila Ma :
nalijuwa hyo [Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy] ilayanapita
2026-09-14 09:06:26
0
lilianmwenda585
Lilian Mwenda :
pole mway
2026-09-13 18:02:54
0
jeylan216
Binti Ahmad ♥️ :
me namuelewa kajala anayopitia coz ndio ninayopitia 😔
2026-09-12 07:09:13
33
allan654b
@Allan Morgan.🔥 :
😭😭 worry less
2026-09-13 16:59:39
0
bingebya
Regina :
Pole sana Yesu akuponye
2026-09-14 19:25:45
0
sueh0332
Ms Sue💞 :
Me namuelewa kajala anayopitia but Mungu akawe chanzo cha furaha yako na ukijisamehe na kusamehe past zako….utapona kabisa
2026-09-12 13:34:54
7
faithney7
Last born🥰💋 :
Mungu amfanyie wepes naelewa daaah🥲🥲🥲
2026-09-12 10:14:34
12
amainapillowcover
Aaayan Omary :
mi mwenywe simwelewi analia nini
2026-09-12 14:10:54
0
user5637969755423
msss chiii :
mimi namuerew san
2026-09-12 11:19:59
3
latifa.richard6
Latifa Richard :
kama haujawai pitia haya hauwezi kumuelewa Kajala 😭 hiyo hali mm nimepitia mpaka nilitaka kujiua lakini nilipogeuza shingo nikawaona watoto wangu basi nikaacha 😭 Ndipo nilipoamua kuupa moyo nafasi ya kuanza upya lakini si rahisi 😭😭
2026-09-12 05:03:59
5
saidsdaughter04
saidsdaughter04 :
kwani anaumwaaaa????au mim ndo sielewi ,msinitukane jamn
2026-09-12 16:27:05
0
shally5078
sahili shally :
sasa paula akiona hii c anaumia sana 😪😪
2026-09-12 10:55:04
4
hedmah51
hedmah5 :
daaahh!! i wish could be my momy so that ningempa moyo jamni ila paula jitahid kumpa mama yako moyo jamni nip na hudhuni
2026-09-12 10:15:10
2
naah8336
Naah :
Mi namuelewa sana coz ndo ninachopitia na mm
2026-09-12 11:07:19
3
user7563434863337
Aggie Nick :
anavhopitia kajala ndo ninachopitia mm kwa xaxa so namuelewa xanaaa kajalaa na mungu amtie NGUVU xanaa
2026-09-12 20:00:45
1
pauline12.com0
Tinasha Drama :
mi natamani akae pekeake aamue mwenyewe anataka nn labda mnaweza muelewa lakin kwahivi ty mtamchanganya jamani 🥺🥺
2026-09-12 10:39:40
1
user4480054215504
ashanamangaya :
yaarab tunakuomba kwa rehma zako na baraka zako umpe moyo wa iman,subra,hakma yakimaamuz hakika ww hujawai kumuacha mja wako ateseke bas tunakuomba mtie nguvu sana dadaeetu kajala ishaallah
2026-09-12 11:21:56
1
user1565917650713
betty :
nimeachwa nina miaka 50 watoto I na wala cjali na asipokuwa makini ataparalaize
2026-09-12 10:45:42
1
lindagodfre
lindah m'bena :
uki okoka na kumtumikia mungu naku hakikishia utapata mume unae mtaka na ata kupenda kweli,
2026-09-12 09:29:19
1
herry17888
herry :
mi na miaka 29 uko tayri nikuowe kajala? Niko tayar kufidia maumifu yako kipenzi Sito kumiza kamwe mungu shaid thank🙏
2026-09-12 19:51:02
1
user7621998170116reney
irene :
yesu kristo peke yake ndio mwanaume mwaminifu kwako mtafute kaika roho na kweli atakuvusha ktk Kila hali na jambo lolote ulionalo huwezi ni Mwanaume aletae fulaha yakweli mruhusu akae yeye tu kwenye moyo wako kajala utathimulia ajabu zake ni hakika na kweli
2026-09-15 06:34:19
0
catherin9059
Maggie :
mwenzenu anaumw halilii mapenz
2026-09-14 20:26:10
0
merryzakayo87
Merry Zakayo :
me naangalia tu nali sijajua mwanae maumivu anayopiti eh mungu wabarik
2026-09-14 19:59:30
0
lihna.adrian
Lihna Adrian :
pole mwaya tupo wengi
2026-09-14 20:38:05
0
To see more videos from user @one_vision_tv, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About