@yusuphnassoro2945: Machawa wanaharibu sana ofisi za watu#fypシ゚viral #tanzaniantiktok🇹🇿 #ugandatiktok🇺🇬 #kenyantiktok🇰🇪

@Nassoro_Daily✍️
@Nassoro_Daily✍️
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 12 September 2026 03:24:35 GMT
29710
775
92
84

Music

Download

Comments

ayubujnnkoo
macomoro pig famer🐷nnko :
😁nani tuweke nae status 😂hi ni moments kabisa
2026-09-12 08:45:19
10
phoncy68
@Phoncina💞 :
nataman kutag kampuni flani🤣
2026-09-12 09:51:14
3
mecktridamartine
Mecktrida 05 :
nataman boss wangu aione hii
2026-09-12 07:03:13
2
user2622410668144
jenipha Noel :
niiweke status au
2026-09-12 09:53:49
1
justin.respikius
Justin Respikius :
nimeiweka status ihi lazima kesho nimuulize boss kama aliiona
2026-09-12 11:39:15
1
tifah4523
princess 👸 tiffah :
nilitaka niweke status nikakumbuka huwa anaview
2026-09-12 09:09:13
0
hapy8649
hapy49 :
our situation no w😓
2026-09-12 12:36:22
0
maryciana.sheka
Maryciana Sheka :
Namshukuru Mungu sinaga tabia ya uchawa hata robo
2026-09-12 07:41:41
1
sabeydon1
black Alabama💀 :
nataman nitume kwenye ofisi yetu😁
2026-09-12 10:48:04
0
joshua.samwel90
joshuasamwel823 :
Kwa kweli😜😜
2026-09-12 08:57:38
0
maggie.minde20
Official Maggie🌹 :
Ni huzuni
2026-09-12 09:49:02
1
mercyakyoo149
Mercy Akyoo :
hakika mm nahis kuchoka may be nikielezewa nikaelew ...yaaan nashangaa ofis niliyopo watuu wotee ninaofany nao idar Moja kwanza ni hawaniongelesh wengin Kaz kuchamba tuu in shot naona kuchukiwa na kila mtuu na sijui nimewakoseaa nn wallah 🙌🥹 watu 3 wote mara waniache ofisn mwenyw mara wanifokeee yaaani na mnmebak kumwambiaa Mungu maan sijuii chochote hakika 🙌
2026-09-12 10:57:25
0
therealshifa0
therealshifa🎀 :
Ngoj ninyamaze😂
2026-09-12 11:58:33
0
user18487119228726
witness🌹 :
kweli kbsaaa
2026-09-12 05:44:51
0
yusuphnassoro2945
@Nassoro_Daily✍️ :
Hwa watu hawafai hata kidogo
2026-09-12 04:44:28
1
jacklineedgar1
jacklineedgar790 :
eh mungu nisaidie nisiwe kikwanza kwa mtu yoyote kuacha kaz
2026-09-12 09:14:12
1
user9055267690901khadija
khadija :
mwakani nisijenyimwa mkataba🤣
2026-09-12 12:32:41
0
msminah
ms minah :
2026-09-12 10:17:32
0
user3214352678824
major kidali :
ni kweli kabisa
2026-09-12 12:28:08
0
marie.genesis3
Marie Genesis :
nataman nimtag ila sasa
2026-09-12 11:23:38
0
da2020day
Day Today :
Boss wangu popot ulipo kula chuma na machawa wako😂😂😂
2026-09-12 07:18:26
0
gabby17_08
446161 :
boss wangu na machawa,hiyo ni dawa,hata kama ni chungu mezeni
2026-09-12 09:48:00
1
learnwithnuru
Learn with Nuru :
Natamani niweke status boss na wafanyakazi wake waone😂😂😂
2026-09-12 11:13:28
0
To see more videos from user @yusuphnassoro2945, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About