@ismail.bwana: #onthisday #creatorsearchinsights #ustadh #Ismail Bwana #lamu #

Ismail Bwana
Ismail Bwana
Open In TikTok:
Region: KE
Saturday 12 September 2026 04:49:41 GMT
5023
191
63
6

Music

Download

Comments

s_mugassa
s_mugassa :
Hamuna ilimu
2026-09-12 05:37:41
0
boycer14
Gunnerz :
free free Palestine
2026-09-12 18:22:29
0
ismail.bwana
Ismail Bwana :
Kisha majuha huchekaa😂😂😂
2026-09-12 11:27:09
4
muhammadaliy6800
BIG MUU%6800 :
shekhe umefikia uko unamwita mwenzko paka kisa maulid halafu munayatakid km ibada wakati mtume hakuja na ilo jambo shekhe ndio vp ivo
2026-09-12 11:18:10
1
el.mariachi44
el mariachi :
sasa dalili ni ipi..bachu ataka kuijua
2026-09-12 05:53:41
1
reality2405
REALITY :
we nawe pia ni ustaadh ama😅
2026-09-12 14:08:15
0
user55027676737650
Messi :
ismail ww piya nimgonjwa wahitaji dawa
2026-09-12 06:05:54
0
moanedsheemwalimu
[email protected] :
hiyo ndio hoja
2026-09-12 14:10:00
1
poso0941
poso :
WAISLAM TUSOMENI TUSIISHI KWA MAZOEA TUMEONA NA SISI BILA ELIM TWAFATA TU . USIPOFATA WAONEKANA UMEASI AMA WEWE NI WAHABI MIMI NI MUISLAM SINA TABAKA
2026-09-12 14:31:57
1
user2008848297880
user2008848297880 :
ilimu uliipata wapi kusikiza mashekhe kisha haifanani nakosoma
2026-09-12 07:14:05
0
ridwan.real.estate
ابتعد عن صاحب الهوى عن ضلالته :
دابة كانت لقريش نطقت تلك الليلة»، فلا نستطيع أن نقول إن المقصود بها النملة أو الهدهد أو القطة أو الغنم أو السمك؛ لأن الرواية لم تحدد نوع الحيوان، وهي ضعيفة الإسناد. والفرق مهم: كلام النملة والهدهد ثابت بالقرآن، أما كلام دواب قريش ليلة مولد النبي ﷺ فليس ثابتًا بسند صحيح.
2026-09-12 18:09:00
0
coachsaid4
COACH SAID :
kabisa
2026-09-12 07:06:38
1
dogo454
Mohamed Abdallah :
Wasemaje tukupange na ww eli Sisi waja tupate ufahamu tukupange shaguwa siku na mahali hatupingani bali tupate elimu manake bashu alitowa mkono
2026-09-12 11:57:49
0
sadaali_1
May_May :
Mimi Bhachu nilimuolewa
2026-09-12 19:05:56
0
kassimmohamed582
babhalo :
tabarakallah fyk,,mashaAllah
2026-09-12 05:55:02
1
mussamohamed177
Mussa Mohamed177 :
wallah, swadakta mwalim wangu hoja imenyooka,,, wallah wenzetu wanamtihani,, Said Athibitishe na hoja na dalili kama wanyama waliongea,,,, porojo tu!!! ;;
2026-09-12 11:55:26
1
abdullahsoya709
Abdullah Soya :
Sawa uko sawa
2026-09-12 16:52:25
1
abuswaleh15
Abuswaleh15 :
sasa taka nawewe Ismail uombe munakasha na ustadh said tukuone tumesoma ama ulienda madrasa kwasababu ya tonge?
2026-09-12 05:18:43
0
ridwan.real.estate
ابتعد عن صاحب الهوى عن ضلالته :
Hu jamaa ameulizwa su'ala badili ya kujibu ndio akajenga su'ala ju ya su'ala
2026-09-12 16:33:10
1
tuzongo.m
tozongo ebwanaeee :
kwani bachu ninani masifa tu mengii
2026-09-12 13:56:01
0
user55027676737650
Messi :
safi sana shek said
2026-09-12 18:46:28
0
user6283993596626
khatib ndege :
Ile ni miuhiza ya allah
2026-09-12 19:47:03
0
ridwan.real.estate
ابتعد عن صاحب الهوى عن ضلالته :
Wanyama waliozungumza hamna simba na samaki waliosema ni wanyama ambao walizungumza, katika Qur’an na Hadith kuna mifano hii: Hodhodi (Hudhud) — alizungumza na Nabii Sulayman عليه السلام na kumweleza kuhusu watu wa Saba. Chungu (Naml) — aliongea na chungu wengine kuwa waingie kwenye makazi yao ili wasikanyagwe na jeshi la Sulayman. Ng’ombe — katika hadithi sahihi, ng’ombe alizungumza na kusema kuwa hakuumbwa kwa ajili ya kupandishwa bali kwa kazi ya kulima. Mbwa-mwitu — katika hadithi sahihi, mbwa-mwitu alizungumza na kumkemea mchungaji kwa kumzuia kondoo aliyemkusudia. Mbwa — kuna pia riwaya sahihi zinazotaja mnyama kuzungumza katika matukio mbalimbali.
2026-09-12 16:39:20
1
mohamed.omar3817
sharif waldea :
mko Na elimu gani
2026-09-12 18:25:44
0
shee01426
mbatikali :
dj piyano
2026-09-12 11:39:20
0
To see more videos from user @ismail.bwana, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About