@veriafya: Akizungumza kwenye kipindi cha Medicounter cha UTV ya Azam Media, Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Watoto, Faraja kambona kutoka Hospitali ya Epiphany, Mbagala, amesema Dawa nyingi za Kikohozi huwa na Viambata vinavyodidimiza Usafirishwaji wa taarifa za Mfumo wa Fahamu kwenye Ubongo hivyo kuathiri Upumuaji wa Watoto, na mara nyingi zikishindwa kutibu Chanzo halisi cha Kikohozi na ndiyo maana Madaktari wengi huwa hawashauri Matumizi yake Kitaalamu, Dawa hizi inashauriwa zitumike zaidi kwa Watoto wenye Umri kuanzia Miaka 6 na kuendelea na ameshauri pia Matumizi ya Asali, Tangawizi na Maji ya Uvugu vugu kwa Watoto wenye Umri kuanzia Miaka 2 yanaweza kuwa na Msaada mkubwa.

Veriafya
Veriafya
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 12 September 2026 05:33:05 GMT
51508
914
20
400

Music

Download

Comments

travelexplo
Kili Tanzanite Safaris DMC :
Ni kweli, from my experience. Ni madhara
2026-09-12 06:13:49
0
nicprecious5
nicprecious :
how wapewe nini
2026-09-12 07:29:18
0
miss.joy959
miss joy :
sasa doctor ndiyo utuambie jinsi yakuwatibu hwa watoto naiyo dawa ya kuuwa tatizo la kukohoa ambayo hayo maambukizi.mana misihaona ulichokielezea kama kuna wengine watakuelewa.elekeza jinsi ya tiba hiyo
2026-09-12 05:40:25
2
getruderpastory
getruderpastory :
asa mi sawa tusiwape sory dacyari tuwape nin sasa
2026-09-12 06:55:19
1
momobusiness62
momobusiness :
Duuu🙌
2026-09-12 10:16:15
0
da_zuu_spare_party
Da'zuu spare party🏍🛺 :
2026-09-12 10:25:58
0
efrasiamary56gmai
[email protected] :
Yesu niokoe tuwape nn jmn
2026-09-12 08:24:49
0
elipidiuskaihula
PdkOfficial :
sas Dr ungetueleza mtoto wa miaka sita chini ya miaka sita asipewe dawa ghna maaana kikohozi ujafafanua kihozi kipi da dawa gan
2026-09-12 10:16:16
0
iddy_ibun_waqaas
iddy_ibun_waqaas :
sasa swali langu mtoto mdogo chin ya miaka Sita akiumwa kikohoz atumie dawa gani kumtibu ili iwe salama kwake naomben muongozo pllllz
2026-09-12 10:41:07
0
romieramah
Iam_Romizo :
Sio kwel
2026-09-12 08:04:20
0
atqaa2
Atqaa :
apo ofisin unapatikana lin na lin
2026-09-12 07:48:30
0
neemaharirh
nay🙏 :
nilikatazwa
2026-09-12 07:48:44
0
ndichi5
ndichi5 :
ni kweli maana codeine ni dawa ya kikohozi lakini nimeona zikiuzwa kama killing especially South africa
2026-09-12 07:53:51
0
rahmaadam380
babyraa :
asnte kwa elimu leo nmetambua sababu ya kulala mwanangu baada yakumpa dawa ya kikohozi🥺
2026-09-12 09:54:49
0
kephawao
Kephawao :
pia opioids zinawapa watoto ulevi.
2026-09-12 07:11:52
1
khsty41
Kíßíçhísty :
Kambona
2026-09-12 08:28:55
0
neemaharirh
nay🙏 :
miakasabaje
2026-09-12 07:49:23
0
To see more videos from user @veriafya, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About