@fastnetsolutions8: #airtel5groutertanzania #airtelwifirouter #wifiairtelrouter5g #airtelrouter #wifiairtel AIRTEL 5G ROUTER TANZANIA(ODU).🔥🛜(Tsh.100,000/= tu) Hiki ni Kifaa ambacho hufungwa nje na kuleta mawimbi ya mtandao katika router ya ndani.Ni nzuri sana kwa matumizi ya nyumbani na ofisini pia na speed yake ni balaa😋🚀. Kwa gharama ya Tsh.100,000/= tu utaweza kufungiwa kifaa chako kikiwa pamoja na bando ya mwezi mzima BURE..Kisha vifurushi kwa miezi inayofuata ni kama ifuatavyo. Tsh 70,000 = 25Mbps(Siku 30] Tsh 100,000 = 40Mbps(Siku 30) SIFA ZAKE: ✅️1.INAUNGANISHA MPAKA VIFAA 64🔗📶🛜📡..Umbali mpaka mita 100🛣 ✅️2.NI WATERPROOF HIVYO INAWEZA STAHIMILI HALI YOYOTE YA HEWA🌧☀️💨❄️🍂🌩 ✅️3.INAKUJA NA POWERBANK(UPS) INAYOKAA NA CHARGE MPAKA MASAA 6🔋⚡️ ✅️4.SPEED YAKE NI YA UHAKIKA KWANI INAPOKEA SIGNAL MOJA KWA MOJA KUTOKA KATIKA MNARA WA AIRTEL ULIOPO KARIBU NA KIFAA📡 Uko wapi uje ufungiwe kifaa chako leo Location📍:Dar Es Salaam na Mikoa mingine huduma inapatikana Mawasiliano:📞0789392749 / 0759009346