@dr.tungu: Watu wengi hupuuza ishara ndogo za mwili… mpaka tatizo linapokuwa kubwa. 🟢 TAA YA KIJANI: Choo kinaenda kawaida, huna maumivu makali, na mfumo wako wa mmeng’enyo uko vizuri. 🟡 TAA YA MANJANO: Unaanza kupata choo kigumu, kujisikia kujaa, gesi au usumbufu wa tumbo mara kwa mara. Hii ni ishara ya kuanza kuangalia lishe na mtindo wako wa maisha. 🔴 TAA NYEKUNDU: Maumivu makali, damu kwenye choo, kupungua uzito bila sababu au mabadiliko makubwa ya mfumo wa choo. Usipuuzie—tafuta huduma ya afya kwa uchunguzi. 🚨 Usisubiri taa nyekundu iwake ndipo uchukue hatua! Uzima Natural tunakupa elimu kuhusu afya ya tumbo, lishe na mtindo bora wa maisha. 📞 Wasiliana nasi: 0693 627 078 Uzima Natural — Nguvu ya Asili, Uzima wa Kweli. #trendingvideo #afyayatumbo #constipation #afya #tiktoktanzania🇹🇿tiktokkenya🇰🇪🇺🇬🇿🇼💯

Uzima Natural 🩺
Uzima Natural 🩺
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 12 September 2026 06:01:56 GMT
143
2
0
1

Music

Download

Comments

There are no more comments for this video.
To see more videos from user @dr.tungu, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About