@maisha_halisia: Tukio la kutoweka kwa mwanaume mmoja anayefahamika kwa jina la Shaaban Maulid Songela, mwalimu wa Madrasa mkazi mtaa wa Mlimanicity kata ya Ng’ambo manispaa ya Tabora, limeacha familia yake katika hali ya sintofahamu kwa kile kinachoelewa ametoweka kwa Zaidi ya siku kumi huku familia ikiomba Jeshi la polisi kusaidia kumsaka mpendwa wao. Tukio la kutoweka kwa mwanaume huyu mwenye wake watatu na Watoto 17 limeacha majonzi Familia hii walizoea kumuona baba akirejea nyumbani baada ya mihangaiko ya siku nzima lakini siku hiyo ilikuwa tofauti walisubiri hawakumuona ikawa asubuhi ikawa jioni siku ya kwanza, hadi leo ni siku ya kumi, swali yu wapi baba bado halina majibu Uongozi wa Serikali ya mtaa wa mlimani City umefikiwa na taarifa za tukio hilo na kwamba wanaendelea kumsaka huku wakisubiri hatua za vyombo vya dola kubaini kilichotokea Kwa mujibu wa kamanda polisi mkoa wa Tabora ACP TWAHA JUMA LULENGELULE tayari jeshi la polisi linafanyia kazi suala hilo. Na.Pendo Salu

MAISHA HALISI
MAISHA HALISI
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 12 September 2026 06:20:13 GMT
80714
2421
352
310

Music

Download

Comments

mymomy40
bint msellem :
Jmn tusimalize maneno! Hakuna mwenye uhakika na haya anayoyasema!
2026-09-14 14:14:25
0
mawaidha_1
ummul Israa :
ustadh hawezi kukimbia kuna kitu tunamuomba Allah amfanyie wepesi.
2026-09-12 13:31:27
76
awetujohn
agayaachande :
Me nisingerudi majukumu yote hayo😅😅😅
2026-09-12 15:32:30
28
amina_tailoringmambrui10
Amina.tailor :
shabani rudi plzzz inaskitisha🥺
2026-09-13 17:41:33
0
elly.john31
Elly John :
hata Mimi ningekimbia
2026-09-12 12:05:52
18
noura88854
NOURA88 :
Poleni san
2026-09-13 03:07:50
0
siti.salua
siti salua :
Allah amlinde uko aliko
2026-09-13 09:18:43
6
angelitha703
angelitha :
Yani watoto wote hao na wake zao anategemewa mtu moja
2026-09-12 12:36:39
29
rauhiya.fasih
Bint Ahmed :
samahanini hata kama mimi Shaban ningetoweka
2026-09-12 17:28:06
12
vannyjaphy
Vannessa :
mmmh watoto 17 mbona wengi sana jamani
2026-09-12 13:45:47
14
charlesnm677
Charles Nancy :
uyo katoroka majukumu iyo familia ni kubwa sana
2026-09-12 18:31:22
12
obbymiles
ObbyMiles :
Kwa halii hii ya uchumi nisingerudi
2026-09-12 17:56:51
5
user2573417239556
Sherry :
oh my God
2026-09-14 11:58:59
0
aljazeera.agristore
Al-Jazeera Agri store :
Allah akihifadh hich kidume na akirejeshe salama Aamiin
2026-09-13 14:05:48
8
user3190392504150
Abuu maryam :
Allah amuhifadh huyu ndugu na arejee kwa familia yake
2026-09-12 17:06:15
5
9thespiritofhealing
Maasai herbs point :
😅aisee watu wanapeleka moto😂
2026-09-12 10:55:25
9
judith77u
~💕judie🎀 :
Ata ningekuwa mimi nitoke kwenda kutaftia wa 20 😂😂😂😂😂
2026-09-12 15:00:17
13
user40297696124344
Rahma Said 🥰♥️ :
ndo maana nazaa kwa mpango, mwanaume awepo asiwepo niweze kuishi na wanangu,hata ingekuwa wake 5 kwa watoto hao ni wengi mlikuwa mnashindana kuzaa eee🥺🥺🥺🥺
2026-09-12 12:15:15
5
useryasher1
aysherhussein :
hao nd watoto wake au wanafunz wake wa madrassa
2026-09-12 15:02:15
8
somoe.amani
Somoe Amani :
Allah amjalie salama uko aliko na atamlinda in shaa llah
2026-09-12 16:09:04
6
sabraburhan330
Sabra :
huyu ni ustazi tena answari mashallah kwa uzazi huu
2026-09-12 13:23:01
6
mahadihdstudio
MAHADI HD STUDIO BUKOBA. :
yaarabiii mulejeshe uyo kiumbe chako katika familia yake
2026-09-13 08:13:02
3
iddi1569
iddi :
Allah amlinde na mafanyie wepes popote alipo aje kuijenga familia yake katika maadili mema in shaa Allah🥺
2026-09-14 19:04:43
1
user8562087866115
mama nancy :
mtume picha
2026-09-13 16:29:14
0
awesome2672
Awesome :
fanyeni biashara atarudi
2026-09-12 18:37:53
0
To see more videos from user @maisha_halisia, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About