kuna muda unashika cm una angalia uamue nn ila una acha cm ukivuta t kumbukumb ya maneno yake mungu anipe uvumiliv inauma sana
2026-09-14 04:41:30
101
Aziz mjema :
hio inaitwa emotional intelligence
2026-09-14 18:50:33
3
vee🥰🥰🥰 :
tujitahidi kuwa na roho ngumu kidogoo ili mambo mengine yawe sawa kwa lazimaa😜
2026-09-14 13:16:08
36
D. Alpha.. :
sometimes you just have to let things go for peace 🕊️
2026-09-14 09:11:11
15
Ziwalink Aquaculture products :
peace maintenance
2026-09-14 01:58:16
0
🦂 scorpion :
Amani yako ni bora kuliko ata hiyo simu
2026-09-14 15:58:53
16
Tee _Aura 💙😍 :
Ex wangu alioa nililia sana bado namkumbuka but naheshimu ndoa yake siwezi mtafuta[Teary eyed]
2026-09-14 11:53:54
13
lizy charz :
mmh siamini kama ananikumbuka mana alinitamkia kuwa hanihitaj tena ana mtu wake wametoka mbali daah inauma sana
2026-09-13 23:13:36
18
Aisha 🇧🇮🇹🇿 ✨️✨️ :
Mi huwa namkumbuka sana baba wa mtoto wangu na namba niko nayo ila siwezi mtafta hadi kiama maana alisema nilijipendekeza kushika mimba yake😳😳
2026-09-14 19:34:49
6
Nurudin_7991 :
group 0 sio kazi yao kukumbuka watu labda nikufikilie harafu nibaki na mambo yang tu
2026-09-14 19:17:46
9
shadia yunusu :
ssa kuna ssi ambao tumezaa nao na tushaachan tunashirikiana katka malez dah inauma sana bc tu sku zingkua zinalud nyuma nisingkubali kuzaa na mtu ambaye najua atutadumu wote all in all maisha inabd yaendlee tu
2026-09-14 14:03:09
7
pryscillah🫧 :
kuna ex wang nimemkumbk san ila hata kwa uchaw siwez mtafuta ata kumwambh bas tu
2026-09-14 11:16:00
12
Ney ritrick :
kwa sababu unakuwa umeamua kukubaliana na matokeo kwamba huhitajiki bs ht kama utakuwa unamkumbuka lkn utavumilia tu😭
2026-09-14 03:30:46
19
Saby Stefano :
mmmmmh
2026-09-14 12:59:34
0
martha babe :
Sijawai pata jibu kwenye ili swali
2026-09-13 09:24:30
7
𝙌ueen 𝙀𝙡𝙞𝙯𝙖𝙗e𝙩𝙝 :
Umejuwaje km anakukumbuka km hajakutafuta
2026-09-13 14:50:10
7
Ms Jennie🌹 :
ni kiburi cha akili kuutesa moyo tu 😂
2026-09-12 08:38:42
21
merry mamadylan :
dharau na vibuli unawaza nikimcheck ataona kama na care sana so unaamua kumute tu
2026-09-14 18:09:44
3
Waizer :
Huwa naumiss sana uwepo wa mzazi mwenzangu hatakama alikua na mapungufu vip lakini ndo alikua baba wa mwanangu nikiwaza ni ngempigia nakumbuka hayupo tena kwenye uso wa DUNIA naishia tu kulia R.A.P Daniel 🕊️🕊️tunaku miss tu papaa 😭😭😭
2026-09-15 09:47:23
3
reiraty🌹🌹 :
umeamuwa kunisema mimi🤔🤔
2026-09-14 17:15:34
3
To see more videos from user @user80172vee, please go to the Tikwm
homepage.