mbn kule wameandika graduation hyo maulidi imetoka wap ou kila dufu n maulidi??
2026-09-12 07:51:56
3
@Ibnu Swaleh :
Mnao post Maudhui ya namna hii mcheni Allah,
Ni Swahihi kwamba Maulidi ni Bidaah na kuna makosa mengi yanayo fanyika na haifai kwa ujumla wake.
Lakini msinasibishe hadi video ambazo sio za kwenye maulid, hio ukiiangalia vzr inaonyesha ni graduation lakin mnaandika captain kwamba ni maulid,
Mche Allah ya Abdullah.
2026-09-12 08:56:42
0
Dulinho :
Hyo sio maulid
2026-09-12 16:51:34
0
Uthaymin Said :
pana neno graduationi ndo maulid aw
2026-09-12 16:27:04
0
infinity :
Twamsalia Mtume Muhammad S.A.W kwa ukimsalia mara moja Allah anakusalia mara kumi
2026-09-12 08:59:34
1
madrasateachersprojects :
Hayaaaa sio Maulidi ni graduation na ni 2025
2026-09-12 15:34:49
0
Alhamdulillah >[]< :
subuhanallah
2026-09-12 16:45:18
0
FAHAD GENERAL TRADERS :
tanganyika au kenya hii
2026-09-12 16:06:07
0
Abuusalman :
subuhannaallah,yaa Allah ya Allah tuongoze waja wako
2026-09-12 11:40:16
0
lukmanomar810 :
haya maulid au ???
2026-09-12 13:21:05
0
Kareem_Ramadan🤍💙👳 :
mbn kama ni graduation jamani😁
mwenye video ukumbuke utaulizwa pia?!☺️
2026-09-12 13:56:55
0
abass allyally :
subhanallah
2026-09-12 09:45:28
0
fatmam :
subuhanallah 😭
2026-09-12 08:48:32
0
ummu salama❤️ :
tujitahid kufanya matendo mema allah anamuona kila mtu
2026-09-12 13:08:09
0
Mwanafunzi wa allah :
Hapo bado amjasema
2026-09-12 09:26:01
0
Malcom tour :
Hasa ayo maludi au greduetion pango lina jieleza mbele
2026-09-12 09:26:55
0
Mr Market101 :
2026-09-12 12:17:20
0
userabu dujanah22 :
maulidi wana msifu mtume hivyo
2026-09-12 08:52:04
0
Lebon :
hii haifai
2026-09-12 09:25:52
0
Ramadan Iliyasa :
futa hii video ndugu angu tafadhali
2026-09-12 09:43:02
1
kassimmichaelmninga :
uzishi uo
2026-09-12 09:06:12
0
Qatari :
subuhana allh ndo waeslamu tulipo fika hukuu daaa
2026-09-12 15:43:09
0
xxx :
langu jicho
2026-09-12 09:38:36
0
Logic Zama :
wanachafua maulidi kwa maudhui hayo acheni hio tabia
2026-09-12 08:38:08
0
To see more videos from user @user3508530562310, please go to the Tikwm
homepage.