@msusi.dodoma: karibuni sana tunasuk nywele mitindo yote tunapatikana dodoma 0797960598

msusi dodoma
msusi dodoma
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 12 September 2026 06:55:00 GMT
305380
6535
197
517

Music

Download

Comments

true.beauty005
True Beauty💅 :
Dm if any
2026-09-14 17:50:22
0
kokushubirabijana
cupcake :
tuoneshe final look dr
2026-09-13 19:01:40
0
.kambadoll37
Esther Daniel ✨🇰🇪🇺🇬🇹🇿 :
hii n braid gani
2026-09-13 17:20:37
0
haig16
RH's WIGS and EXTENSION :
mbaya
2026-09-12 09:00:32
79
tatysweeter269
Miss Dior💦♎️ :
Hapana kwa kweli🙌🏿
2026-09-12 09:31:14
27
mlilo_judie456
Mlilo❤️🥰 :
Mbaya jaman kwel hazielewek😂🫴
2026-09-12 13:13:09
41
thatcher619
Thatcher :
Tuonyeshe full inakaaje
2026-09-12 09:53:44
7
itsnancy278backup
Nancy wa doc🎎 :
ni tubaya
2026-09-12 10:53:16
7
chynaah_0625
chynaah_0625 :
msusi nishushe😁😁😁
2026-09-13 06:11:58
1
user5445062546761
RECHO JUMA :
Ni nzuri bhana mi nimezipenda
2026-09-14 16:29:41
0
trinahlutious_og
Trinah lutious_Og :
Anafumuajeeee
2026-09-13 05:03:40
0
evanblack34
E💋 :
Tupe final touches babe tunataka kuona inakaaje
2026-09-14 16:46:58
0
elizabethtiethan4
NGUO BEI RAHISI :
Ila ubunifu😂🙌🏽
2026-09-13 12:30:58
0
trishazmoses1234
Trishaz Moses :
😂😂😂😂😂tumefika mpaka kusukia uzi wa kushonea viatu😂
2026-09-13 17:43:33
0
galwithvision1
N@(💕? :
Yoooh hapan kwakwelii😒😂😂🙌🏻
2026-09-12 23:01:34
0
cleahnassib
Cleah Nassib :
nipo busy na kucha za msusi coz urembo ushanipita kushoto
2026-09-12 11:28:50
7
therealangellah
Angel👑 :
Watu wanaosema mbaya wanasubiri star azisuke wajee😂😂
2026-09-13 17:25:26
0
user7071752359121
Rufina GGL :
Msusi ana hekima sana anajibu watu very politely😍🥰Mungu akutunze na akuinua viwango vya juu🙏🙏
2026-09-14 00:16:42
0
fayverena
noti ya elfumoja ya kitambo :
napenda vile anajibu watu bila makasiriko😂😂😂😂
2026-09-13 17:43:35
1
newyear3896
newyear :
hizo kucha kama zangu
2026-09-12 21:36:36
0
teresiasimon503
Teddy :
kwakwel hazielewek mm ngojea fasion nyingn zinipite tu
2026-09-13 16:55:43
1
To see more videos from user @msusi.dodoma, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About