afu leo chadema wanaleta mambo yao,,,,,acha twende mdogo mdogo tutafuka hata marekani pale ina miaka 250 na siai Tanzania ndo tupo mwaka wa 60, afu upinzani unasema CCM haijafanya kitu.
2026-09-12 14:26:53
1
KAMANDA WA YESU :
This is powerful
2026-09-12 16:23:23
0
Warioba🇹🇿 :
Tuna vitu vingi sana ila hatuna viongozi
2026-09-12 09:01:38
9
THE PATRIOT :
Amina mchungaji🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🫡🫡🫡🫡
2026-09-12 11:01:15
2
MJEDA WA YESU :
ila gwqjima mungu amembariki sanaaa
2026-09-12 13:27:10
1
Elica tz :
najivunia kuzaliwa Tanzania nchi yngu naipenda sana☺️☺️
2026-09-12 09:19:09
3
Tina Damasi :
MUNGU ni mwema nyakati Zote 🙏
2026-09-12 07:39:29
4
neygee :
ufunuo 1:8
mungu ni Alfa na omega, mwanzo na mwisho asema bwana aliyeko na aliyekuwepo na atayekuja mwenyezi
2026-09-12 07:45:02
5
tangawizi :
tumelaaniwa 😅 mchungaj tuitaji kuombew
2026-09-12 10:39:36
2
Richie :
na bado hatuna maji... Achana na kilimo cha umwagiliaji!
2026-09-12 14:16:21
1
Chuhila capitalist :
Ameen Ameen
2026-09-12 11:19:09
1
METLUX UNLOCKED :
Gwajima yupo vizuri sana 🔥
2026-09-12 11:02:12
1
max :
C'est vrai, mais que faut-il faure maintenant
2026-09-12 08:24:08
1
jkrealbottomup :
ukubwa wasaindia nn?
2026-09-12 16:50:36
0
ŁG〆𝐒𝐋𝐀𝐘𝐄𝐑 :
Sasa hio inanisaidia mimi nini🤣🤣🤣
2026-09-12 17:49:15
0
nikiii :
m.mwenzenu nachanganyikiwa kwasababu mpka Leo mama yang anachota na mgongo na n mbali
2026-09-12 17:55:52
0
Babe girl :
tumshukuru sana mungu anatupenda sisi watanzania [Pray]my Tanzania 🇹🇿 [Red heart][Red heart][Red heart] magufuli angekuwepo tungekuwa tumefika mbali sana 😢 naamini mungu atatupa mwingine kama magu
2026-09-12 14:27:19
1
Dency silver :
halaf mwishowasiku ?😁😁
2026-09-12 15:50:53
0
Omar mnyembo :
kama 😃tumerogwa basi tujue
2026-09-12 16:49:59
0
cmfox :
NAKUPENDA KWA MOYO WOTE 🇹🇿
2026-09-12 16:36:33
1
KAMANDA WA YESU :
Kwa sababu anayeitawala Tanzania iaiyokaliw ana wa watu yaani katika ulimwengu wa roho ni kutoka kwa joka kuuu ...so.lazima tubadili katila ulimwengu wa roho ili Tz itawalliwe na malaika watakatifu ndipo tutafaidi rasilimali tulizonazo
2026-09-12 16:27:20
1
ST. PAUL'S OPEN SCHOOL KIMARA :
halaf kimara mengeni maji hayatok
2026-09-12 15:58:44
0
Quindecillion0918 :
asante Mungu
2026-09-12 09:11:46
0
To see more videos from user @mzalendowayesu, please go to the Tikwm
homepage.