@chiefpengo: 🤔🤔🤔🤔🤔🤔#mzeedude #chiefpengo

CHIEF PENGO
CHIEF PENGO
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 12 September 2026 07:16:03 GMT
20681
1093
53
26

Music

Download

Comments

boka_sabo
Boka Sabo :
habari amesikiliza kwenye radio lakn anataka ahadithiwe tena
2026-09-12 15:04:20
21
saady___
𝐒𝐚𝐚𝐝𝐚👑 :
anapika nini mpewa habari?
2026-09-12 07:35:19
7
anthonykiphagio
Anthony Kiphagio :
Yaaaaaahh....😅😅😅 kimyaaaaaa....🤣🤣🤣🤣
2026-09-13 06:37:36
2
saimonimathew315
Saimoni Mathew :
mzeewangu umeongea pointi sanaaa itifaki izingatiweee.
2026-09-13 07:07:31
2
paultheson5
paultheson5 :
kwani aliempiga polisi mbona kasamehewa awo wangine kwanini wasisamehewe
2026-09-12 19:49:02
0
aziz_empire
AZIZ_EMPIRE :
sas mbna kimya
2026-09-12 19:03:35
0
surambaya51
doctors surambaya :
mzee nimekuelewa sana tenasana
2026-09-12 15:29:03
5
copyw4
Copy :
Et kimya
2026-09-13 06:29:44
0
jamactz001
jamactz :
utatusaidia ushaidi😂😂
2026-09-13 06:21:41
0
lazaro446508
Lazaro salamba 770 :
ety yaah kimyaaah
2026-09-12 13:44:02
1
daud.tetere
Daud Tetere :
daaa!! siyo yakucheka ila etii kimya
2026-09-12 14:19:26
1
namkuna4
BIKO Jnr12🇹🇿🇧🇷🇪🇸 :
Huyu mzee akili kubwa sana mungu akutunze sana mzee wetu
2026-09-12 18:59:46
1
i_mansoorat
I_Mansoorat :
Hapo ingekuwa mtu ameikosoa ccm angeswekwa jela miaka30, ila case zingine zinaongeleka😂😂😂
2026-09-13 07:25:58
0
presnel_007
Presnel_007🇧🇱 :
Kimyaaaaaa😅😅😅
2026-09-12 14:07:38
1
sera80987
Sarah💞shillah❤️💕🍓 :
Akili kubwa
2026-09-12 14:59:45
0
user1584318615612
KIBAHA BOYS :
chifu pengo dereva wa mkoa ndo nn🤣🤣
2026-09-12 07:43:35
1
saady___
𝐒𝐚𝐚𝐝𝐚👑 :
ditopile mzuzuli ndugu awajakubali walipambana wawezavyo mbaka wakakosa wote
2026-09-12 07:37:40
4
user2436296581616
jumaa :
Mnzee yupo sahihi sana daa
2026-09-12 08:57:00
7
prettymirah45
baby mama 🤱🥰💍 :
kimyaaa😂😂😂😂😂
2026-09-13 05:23:15
0
mama.nuryat0
Mama Nuryat :
kama baba yangu anavyo ulza maswali
2026-09-13 08:27:39
0
xhaklee
0p xhaklee99🚜🦺 :
hahahhah
2026-09-13 08:38:02
0
user6261611094106
Salumu Mkwango :
heee huyu mzee anakaaa wapi
2026-09-13 06:51:30
0
khallar6550
@...khallar 🍁❤️ :
Mzee yupo sahihi sana Asante babu yangu kwa kutoa point za maana
2026-09-13 06:37:13
0
ruu.mapande
Ruu mapande :
Daah umenikumbusha mbali story za bibi yangu izo 🤣🤣 m/mungu akuondolee adhabu ya kaburi bibi angu 🙏
2026-09-12 16:06:44
0
To see more videos from user @chiefpengo, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About