@ayeshadangote1: Na ukitaka kuandikiwa jina jamani useme hii ni buure sema mapeema, sio badae kazi inaisha tajir unaona vitu kama hiv unaniuliza tena mbna mm hukuniandikia🥹 jmn hukunambiiia kama unataka😥 ila yotekwa yote hizi kazi tunazijua bwaaana😅🙌🙌 vitu tunavyoweza kufanya kwenye gari yako ni ✅ Seat Covers ✅ Dashboard Repairing ✅ Roofing ✅ Door Panels & Steering Covers ✅ Car Carpets/floo.#fyp#viral#creatorsearchinsights