remember many rich people are in the covenants with the devil, not everyone rich is clean, who is a rich person in eyes of God? which knowledge are you talking about? tltajiri wengi Wana madharau sana na roho wa mungu hapiganii hali kama hizo
2026-09-12 12:16:03
1
Siri Huseini :
script
2026-09-12 14:20:22
0
MAN of GOD :
😂😂 mtumishi wa MUNGU hapo naku katalia.ata mim nilikua na ufaham kama wako lkn nikagundua kitu
Pepo ana anguka mtu yeyote yule haijalish awe maskin au tajir.
brother hudhuria ibada za Hawa watu MWAMPOSA,SUGUYE, KUHANI MUSSA,
hao matajir unao sema wewe Wana mambo ya kutisha na ya ajabu. kaka Nina ongea ukweli ROho mtakatifu ana ni shuhudia wengine ni watu maarufu nime kutana nao huko.
Tena utasema ni bora maskin wanao sumbuliwa na roho za umaskin.kuliko hao matajir.
please nakuomba Elimu Haina mwisho endelea kuchunguza uta ikumbuka hii sms yangu.
Nina Amin uta kuja kurekebisha hii post yako
2026-09-12 09:35:10
4
Pastor Charles Makali :
hajakutana na nguvu ya MUNGU tu
2026-09-12 09:13:42
2
Ayinkamiye ALICIA :
ASANTE sana kunifunguw maco
2026-09-12 09:16:18
1
JOHN JAILOS :
Ni kweli Mwlimu wangu kwa hizo njia.Lakini pia kupitia vyakula tunavyokula hususani kwenye mialiko ya sherehe mbalimbali(Kula kwa kinachoonekanika)
2026-09-12 08:16:28
2
kasanga munyoki :
ukweli
2026-09-12 19:57:38
0
monicagasper6 :
uhakika kaka yangu
2026-09-12 14:25:11
1
GRADUATION GOWNS-THE SAINTS :
Pepo linaogopa tajiri😂😂
2026-09-12 12:12:56
1
Ufoo1982 :
sidhani kama hana pepo bana, akienda kanisani ni kukamilisha utaratibu wa siku tuu, na sio kila siku ataenda kanisani, na pia pesa inaleta kiburi na kujiamini, huwezi kumsikia tajiri anapiga sala kwasababu anahisi amepata vingi alivyokuwa anahitaji ndio maana hata akitoa sadaka anaitoa kwa mbwembwe nyingi ili wengine wajue amebarikiwa, hizi tafsiri nyingine nadhani tunapotosha tuu.
2026-09-12 09:56:55
2
Nahum Nahimana :
Kweli Kabisa [Cœur rouge]
2026-09-12 08:25:04
2
BOSS MUTOTO :
Asante baba
2026-09-12 08:56:49
1
JUMA KAVANGA :
tajir ana miliki fedha fedha inanguvu kuliko mapepo
2026-09-12 12:04:46
4
Rebeca :
Hivi kwani magonjwa si pepo? Sasa magonjwa ya kansa n.k yanawapata watu gani?
2026-09-12 18:20:41
0
Ahmad matumbi :
upo sahihi broo
2026-09-12 08:53:20
1
EJ :
Falling down is not about poor or rich. I have witnessed rich, many who fears God fall, don't lie please
2026-09-12 12:11:05
0
EJ :
there are very many rich people who are very humbled than even poor.
2026-09-12 12:12:26
4
EJ :
was job poor? peter?
2026-09-12 12:16:48
1
sm :
kiufupi matajiri hawaendag kuombewa maana hawana shida pia wakanisa wanayoingia matajir hamna ibada zakukemea mapepo pia matajir hawaend kuomba wao hua wanaenda kushukuru nakutoa shukran.
2026-09-12 09:27:03
2
Daniel :
hata matajiri wana mapepo sema mapepo yao ni tofauti maana hata wengine wana maagano ya kishetani ijapokuwa sio wote.
2026-09-12 15:44:36
0
MWAJUMA1993 :
hawana njAa sisi sana sana njaa
2026-09-12 16:37:52
0
S V Mwanr :
nice.
2026-09-12 16:42:47
0
ben :
Leo nimepata jibu
2026-09-12 20:38:09
0
James official :
mwenyewe sijawahi kuanguka jamani 😁😁 kila nikisukumwa na pasta niko imara wengine wanakuwa na njaa bhana 😂😂😂😂🙌🏼🤧
2026-09-12 18:38:13
0
Stephan :
na kusikiya nguvu za Mungu niweye pekeyako saabu binatokana na utayari wako
2026-09-12 18:59:36
0
To see more videos from user @mr_mangapi, please go to the Tikwm
homepage.