Nachopenda kwko bro ni vile unabakia kwenye misingi ya muziki wko huyumbishwi na misimu...🔥🔥
2026-09-12 16:41:13
2
Ambersador 3000 :
kuna dude linaitwa Akoana, halafu jengine mbona, jengine unaninogesha, sijamaliza kuna ile yakuitwa typing, unafikirii mwisho bado kuna hiyo talala, halafu kuna kile kipande cha sory narudia , tuishi wote mileleee, wala bila kujaaali keleleeee zao, tuwe makini na waleeee, oyaa broo maisha marefu nikifa mungu aniachie masikio2 napokwenda nkasikie ngoma zako nikisema unaufahamu mziki nakoseaa ww unaujuaaa mzikiiii perfect sanaa familiaaa
2026-09-12 21:24:26
1
Key Nail Bar :
Kaka bado hujaiachia au, make naingia kwa platforms siipati
2026-09-12 15:15:02
3
scorpion killer :
dah kaka unajua mwanang
2026-09-12 20:26:50
2
maximelodytz :
wee mtoto hatari
2026-09-12 08:24:52
1
TiNo%% :
umepowa san
2026-09-12 15:48:00
1
man :
ashante shana.. mattan
2026-09-13 20:44:29
0
Mzanda Arts :
big up
2026-09-12 14:11:43
1
Patrick genius Tz... :
yupo mjini
2026-09-12 20:31:51
1
Selfie :
Ume nifanya ni liye kwa nyimbo hi😥😥😥😥
2026-09-13 07:59:37
1
4GEE :
hizi sound kaka unatoa wapi aiseeee lazima hii inakua my favorite song
2026-09-12 18:41:02
0
Kelly travel🇹🇿 :
achia dude hilii
2026-09-13 21:40:57
0
favoured son :
bro nahisi wewe ndio next big project mark my word bro unaenda mbali kimxiki kaka Mia Mia sana