mm nashindwa kwenda masuala yafamilia mitandaoni hapana hekima hazipo baadhi ya watumishi
2026-09-12 09:57:40
33
magrethlaizer :
haya maombi ya uchochez me sipendagi
2026-09-13 08:30:26
2
Vicky jeremia :
Kwanini mnatoa siri za watu kwa watu wengi ndio maana huyu baba anakwepa camera
2026-09-12 10:42:49
12
user79559628607 :
bora kuongea ukweli tu
2026-09-12 09:33:12
7
Jayce :
Mm kuna ndoto nliota na inasumbua sana kwann huwa nakemea watumishi ndotoni na kila nikikemea wanatoweka na wengine wanamezwa nguvu zao na mnyama mkubwa wa ajabu
2026-09-12 16:59:19
1
Sarah Mabuga Mahende :
mtumishi natamani nikuone na nipo makao mapya arusha hapa lakini naona uvivu kuja kukuona hapo cjui ni pepo linanizuia nauli 1000 tu jmn ila nataman kuja nikuone
2026-09-12 09:53:39
0
bobjoy :
ma pastor munaharibu ndoa za watu na utabiri wenu
2026-09-12 19:33:01
3
user7159513740390 :
tumelogwa. wengi mtumishi tuombe na sisi jamani
2026-09-12 21:59:51
1
Aline Munezero :
amen
2026-09-12 14:47:00
1
Diana Mangisa :
ktk kitu nachukia ni kama hivi jaman mbaba wa watu kakosa amani nn maana ya ofisi ya mtumishi
2026-09-13 04:28:04
1
babygee❤️ :
baba nilipiga sm ikapokelewa na nikapewa namba ya Mtumishi wa mwanza ila Kila nikipiga sm haipokelewi😭
2026-09-13 02:16:24
1
Ernest Mnkondya :
Mimi tu nimeamua kukaa kimya
2026-09-12 13:37:54
1
Paulina :
amina mim napenda niambiwe ukweli ili nipone
2026-09-12 11:09:24
1
user3997092784017 :
Nimepitwa hii ya Arusha 🔥
2026-09-12 08:59:21
0
Ayo Abraham :
hili kanisa jmn liko wap hapa arush
2026-09-13 17:24:34
0
Pavooh :
HEKIMA MEYOO MWENETU
2026-09-14 05:21:46
0
kelvinmbugua247 :
alafu huyu jamaa hamjui mariamu aki🤔🤔🤔🤔
2026-09-13 17:58:56
0
Nemadorry :
mbona kama analazimisha
2026-09-14 05:58:24
0
J.JONA :
kabisa maana duh co poa
2026-09-13 20:45:46
0
getrudapaulo7 :
baba bado upo
2026-09-12 09:19:35
0
To see more videos from user @prophet_philbertpaschal, please go to the Tikwm
homepage.